Gigolo ndio nini mkuu?Mapenzi sio umri kweli ila mapenzi ni pesa, watu hawaangalii umri wako bali pesa yako, huko unakowaita "wenzetu" ndio kumetokea misamiati ya 'Gold digger' na 'Gigolo' sasa sijajua walimuwekea mwanamke/mwanaume wa Kiafrika!
Hii kasumba ya kuwatukuza watu wa magharibi na kudhani wao ni watakatifu sana na kuji underrate ninyi wenyewe sijui itaishi lini, ni ushamba, ulimbukeni, kutokujiamini au ukosefu wa exposure?