West Ham club ndogo ina uwanja mkali kuliko wa Tanzania

Westham zamani walikuwa wanatumia uwanja wao wa Nyumbani ulikuwa ukiitwa Upton Park ulikua wakawaida,huu wa Sasa wamepewa na FA kwani huu uwanja ulijengwa kwa ajili ya mashindano ya Olympic yaliyofanyika uingereza miaka michache iliyopita, baada ya mashindano kuisha Westham wakapewa huu uwanja..kwaio hawajajenga kwa pesa zao na kulikua na malalamiko toka kwa Fulham nao kuomba wapewe ila Westham wakabahatika
Tuandae AFCON na serikali ijenge viwanja. Baada ya mashindano, serikali iingie makubaliano na vilabu ili vimiliki na kuendesha viwanja hivyo
 
Hawajapewa na FA bali wamepewa na jiji la London
 
Mkuu ..kweli not swali la kujiulizaa hkoo..kwambaaa hujui kwambaa.nchi yetu ni maskini..?hujui bado asilimia kubwaa ya vijiji vyetu.hata hudumas ya maji bdo ni changamoto..anyway..ukifanya utafiti kidogo utagunduaa kwambaa miaka ya 1960s wakat sisi tunapata uhuru kunaa club nying ulayaa zilikuas tayari na viwanja vizuri..point is sisi bado ni nchi maskin..
Hapana sisi ni "donor country" hahahahh
 
Asante sana,shida ya tz hata wazo la kuandaa Afcon kwa kina mama halipo...naskia eti ile ya U17 walipewa tu na CAF
Tuandae AFCON na serikali ijenge viwanja. Baada ya mashindano, serikali iingie makubaliano na vilabu ili vimiliki na kuendesha viwanja hivyo
 
Asante sana,shida ya tz hata wazo la kuandaa Afcon kwa kina mama halipo...naskia eti ile ya U17 walipewa tu na CAF
Nchi zote AFCON huleta maendeleo ya miundombinu ya viwanja vya mpira mechi na mazoezi, viwanja vya ndege na barabara kiasi fulani. Ni kazi ya serikali kufanya hayo.
 
Kweli kabisa ukizingatia pia ni kuongeza ajira kwa vijana na hata mapato kutokana na uandalizi wa michuano mbalimbali

Back
Top Bottom