msindikizaji
JF-Expert Member
- Aug 29, 2010
- 1,763
- 2,888
Huyu haijui west ham enzi za yule dogo Abou.Vigezo gani umetumia kuiita Westham timu ndogo?
Tuandae AFCON na serikali ijenge viwanja. Baada ya mashindano, serikali iingie makubaliano na vilabu ili vimiliki na kuendesha viwanja hivyoWestham zamani walikuwa wanatumia uwanja wao wa Nyumbani ulikuwa ukiitwa Upton Park ulikua wakawaida,huu wa Sasa wamepewa na FA kwani huu uwanja ulijengwa kwa ajili ya mashindano ya Olympic yaliyofanyika uingereza miaka michache iliyopita, baada ya mashindano kuisha Westham wakapewa huu uwanja..kwaio hawajajenga kwa pesa zao na kulikua na malalamiko toka kwa Fulham nao kuomba wapewe ila Westham wakabahatika
westham ni team ndogo?Sisi tunakwama wap kwenye miundombinu katika soka,yan hata championship pale England wana viwanja vizuri sana
Hawajapewa na FA bali wamepewa na jiji la LondonWestham zamani walikuwa wanatumia uwanja wao wa Nyumbani ulikuwa ukiitwa Upton Park ulikua wakawaida,huu wa Sasa wamepewa na FA kwani huu uwanja ulijengwa kwa ajili ya mashindano ya Olympic yaliyofanyika uingereza miaka michache iliyopita, baada ya mashindano kuisha Westham wakapewa huu uwanja..kwaio hawajajenga kwa pesa zao na kulikua na malalamiko toka kwa Fulham nao kuomba wapewe ila Westham wakabahatika
Hapana sisi ni "donor country" hahahahhMkuu ..kweli not swali la kujiulizaa hkoo..kwambaaa hujui kwambaa.nchi yetu ni maskini..?hujui bado asilimia kubwaa ya vijiji vyetu.hata hudumas ya maji bdo ni changamoto..anyway..ukifanya utafiti kidogo utagunduaa kwambaa miaka ya 1960s wakat sisi tunapata uhuru kunaa club nying ulayaa zilikuas tayari na viwanja vizuri..point is sisi bado ni nchi maskin..
Tuandae AFCON na serikali ijenge viwanja. Baada ya mashindano, serikali iingie makubaliano na vilabu ili vimiliki na kuendesha viwanja hivyo
Nchi zote AFCON huleta maendeleo ya miundombinu ya viwanja vya mpira mechi na mazoezi, viwanja vya ndege na barabara kiasi fulani. Ni kazi ya serikali kufanya hayo.Asante sana,shida ya tz hata wazo la kuandaa Afcon kwa kina mama halipo...naskia eti ile ya U17 walipewa tu na CAF
Nchi zote AFCON huleta maendeleo ya miundombinu ya viwanja vya mpira mechi na mazoezi, viwanja vya ndege na barabara kiasi fulani. Ni kazi ya serikali kufanya hayo.