Western ByPass - ujenzi wasonga mbele

Western ByPass - ujenzi wasonga mbele

vulcan

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,742
Reaction score
2,459
Western ByPass inaungana na Southern Bypass pamoja kwenye Nairobi - Waiyaki way - Rironi Express way.

Ujenzi wa 10 lane - Kutoka Westlands mpaka Rironi unaendelea pia.. huku ujenzi wa Mlolongo to Westlands ukiandaliwa tayari..

Hii hapa ni inter-change ya Ruaka kwenye Northern Bypass na Western By Pass .

1592353362578.png

1592353239937.png

1592353253615.png

1592353279283.png

1592353299062.png

1592353485928.png

1592353501815.png
 
Kwa sasa sisi tuna stop kidogo kwa ajili ya uchaguzi, hila jembe likirudi tena madarakani limeaidi kushusha miradi ambyo wakenya lazima mpigane na muone serikali yenu aifanyi kazi
 
I wonder what Kenya will look like in 2022! Was in Mombasa ile road construction iko kule when finished the place will be awesome, didn't take pictures na haziko kwa mtandao., can't google them, the better., watu wanasema Kenya ya kwenye makaratasi[emoji23][emoji23][emoji23]
Haya mavitu jameni aki ya nani hii nchi tunakwenda kwa kasi isiyo ya kawaida, unaposkia uchumi wa kati hii ndio maana yake.
 
I wonder what Kenya will look like in 2022! Was in Mombasa ile road construction iko kule when finished the place will be awesome, didn't take pictures na haziko kwa mtandao., can't google them, the better., watu wanasema Kenya ya kwenye makaratasi[emoji23][emoji23][emoji23]
I also saw the road. The bad thing is that those constructors are very slow.
 
Mombasa is doing underpass. Do you have any in Tanzania?
Dar es salaam is about to have the second cable bridge and Mwanza will have the longest cable bridge in E.A right away. D'you have any in Kenya?
 
Kwa sasa sisi tuna stop kidogo kwa ajili ya uchaguzi, hila jembe likirudi tena madarakani limeaidi kushusha miradi ambyo wakenya lazima mpigane na muone serikali yenu aifanyi kazi
Uchaguzi upo lini?
 
Hii western ByPass imeanza kujengwa toka mwaka jana hadi leo bado tu haijafika popote... Mbona siwaelewi?
 
Back
Top Bottom