WESTGATE MASSACRE: 41 YEARS KENYA's STILL BEHIND


Mkuu usisahau hata Sept 11 Israel iliwaonya Marekani kuhusu hilo tukio na ndio maana kwenye twin towers kulikuwa na waisrael zaidi ya 3000 wanaofanya kazi mule lakini siku ya tukio hamna hata mmoja aliyeenda wote walikatazwa na serikali yao na ndo maana huwa kunaibuka conspiracy theories nyingi sana juu ya Sept 11 kwa vile CIA na FBI walishapewa onyo lakini unaweza kuta nao walipuuzia tu
 

Mkuu huyu jamaa sio undercover ni mtoto wa Seneta wa Garisa na anajulikana aliohojiwa na vyombo vya habari na akasema kaka yake alikuwemo kwenye jengo na ndo alimtumia text ya kuwa kuna magaidi so alienda kwa lengo la kumuokoa kaka yake lakini akakuta kaka yake ameshatoka so akaanza kusaidia uokoaji na wala sio undercover kama unavyofikiria hao mbona walikuwa wanaonekana wengi tu wakiwa wamevaa kiraia?
 

mmoja wa wapiganaji wa kupigana na ugaidi niliona on the news anaingia in the mall kuokoa watu with an RPG in hand. I mean really, mission kama hii mnaenda na Rocket Propelled Grenades, I'm no expert ila that was one heavy weapon for the mission. Pia rescue teams zilikua zinafika eneo la tukio, on foot. I kinda expected more from Kenya. Ila conglats for all they did and the lives the saved in the end.
 
Unachekesha huyu mwanzisha mada kafundishwa na hao unaotaka awafundishe!!
Unaijua nchi yako vizuri? uliza makaburu,wareno na vibaraka wao wakwambie!!

Mkuu wakati nasoma post zako nimejikuta nafarijika

Nimefarijika kwakuwa angalau nimeona mtu mzalendo na mwenye mawazo chanya na nchi yake tofauti na wengi
Kuna jambo kubwa sana nimeligundua,wengi wa Watz hatuna uzalendo kabisa,wengine hata jeshi letu hatulijui lakini tunaliponda tu

Isasikitisha sana!
 

On addition to sept 11 issue,
Daniel lewin Mmarekani-Muisrael, mfanyabiashara wa mtandao wa internet na komandoo wa zamani wa Israel (Most elite Israel Counter Terrorism Unit, Sayeret Matkal?) alikuwa mmoja wa abiria (A coincidence?) kwenye ndege ya kwanza iliyotekwa na kwenda kubamizwa WTC!
Dakika 16 baada ya ndege kupaa na kutekwa na watekaji wapatao watano Lewin anausoma mchezo (?) na kutaka kupambana na watekaji hao, bahati mbaya kwamba hakuweza kuwanote watekaji wote na hivo anakabwa na gaidi mwingine aliyekuwa kakaa siti ya nyuma yake na kumuua, Lewin anakuwa mtu kwanza wa kufa katika tukio hilo la Sept 11!
 
Ni kweli mkuu. Chunguza kwenye picha yake moja huyu raia Abdul yuko na pistol ki action zaidi akimuelekeza mama wa kizungu jambo la kufanya,lakini pembeni yake yuko askari wa Kenya akiwa na bunduki kubwa kaishika kizembe kabisa eti nae anasikiliza maelezo toka kwa Abdul!
 

Hahahaa yaani askari anapokea maelezo toka kwa raia that's so funny inabidi bwana Abdul aajiriwe na jeshi la polisi na apewe cheo kikubwa tu
 
Hahahaa yaani askari anapokea maelezo toka kwa raia that's so funny inabidi bwana Abdul aajiriwe na jeshi la polisi na apewe cheo kikubwa tu
Ha ha ha! Nami niliona bora Abdul apewe cheo jeshini awe anawaelekeza askari mbinu mbalimbali.
 
its shocking how they made life of the hostages expendables by just blowing the building to kill both terrorist and hostages to end the siege!!! the biggest failure was the delay when transferring command from police to army which allowed al shabab to take good defensive position by positioning snipers and 2 high caliber machine gun that pinned the army firmly into their positions forever until the decision to blow the mall was made!!!
 

We jamaa ni noma....kama uko JWTZ ....baaasi sina wasi wasi tena...maana siku hizi hata nikikaa contener kwa mangi na kabia kangu nakua na wasiwasi kweli......ahsante sana mkuu.
 
Mkuu, Hatuwezi sifia kitendo cha kikatili cha jamaa na kukiita cha akili kwani walikuwa wanacheza na roho za watoto na akina mama wenye mimba. Hata enzi za kale, haikuruhusiwa hata kumuua askari mwenzio aliyelala. Kwa misingi hiyo, wauwaji walifanikiwa kirahisi sana kuua, kubadili nguo na kubeba majeruhi na kutoka nao. Hata waokaaji wengine ingelikuwa bongo wangelisaidia polisi kwani uwezekano ni mkubwa kuwa magaidi walijipango kujifanya wasamaria wema. Kitu cha msingi, Tanzania hapana chezea, DRS Wanasifiwa dunia nzima, Mashujaa wetu Wakati wa Mabomu ya Mbagala, Walijua wanakwenda kufa, Waliingia kwa furaha ndani ya mahandaki, kwa uzalendo na utaifa walitegua mabumu na WAKAISHIA R.I.P Wazee wa kazi. Kufikiri ni kugumu. Tumefundishwa JKT, Hata bomu la mkono likidondoka mbele yenu, yapashwa mmoja afe kwaajili ya wengi. Hii ndo Tanzania. Kenya naona kama vile waliogopa kufa kwaajili ya wengi. Nipo radhi kusahihishwa.
 
Unachekesha huyu mwanzisha mada kafundishwa na hao unaotaka awafundishe!!
Unaijua nchi yako vizuri? uliza makaburu,wareno na vibaraka wao wakwambie!!
Eti eeh?! lakini mbona anajisema kama raia wa kawaida hapa jf au ndio hiyo sheria ya anonymity?
 
Alafu watu wenyewe walikuwa wane tu! Mtoa mada lazima naye ni Gaidi au Colonel wa jeshi
 
Katika mambo yaliyonishangaza ni kuona kila mtu aliyetoka ndani ya Mall akiwa amenyosha mikono aliachiwa aendelee au kupelekwa katika Ambulance.
Hili ni kosa kwasababu katika vurugu hujui nani mwema nani mbaya na mbaya anaweza kutumia nafasi hiyo kutoroka.

Kwa wale waliofuatia habari za Carlos na Budia watakumbuka wakati ambapo mmoja wao alishtukiwa kuwemo ndani ya ndege. Ghafla akajifanya kaugua na ndege ilipofika uwanjani ambulance za emergency zilikuwepo kubeba 'mgonjwa'. Jamaa kasepa kwa ulaini.

Kilichopaswa kufanywa ni kukamata kila mmoja isipokuwa watoto halafu kuwahoji kujua undani wao.
Pili, kufunga eneo lote na kutoa muda wa kusoma ramani ya eneo hilo kubaini wanaweza kutokea wapi.

Hakukuwa na haja ya kulipua jengo kwasababu lengo ni kuwapata wakiwa hai na kutafuta habari zaidi zinazowahusu.
 
Jipu linapokuwakwenye mwili wa mwenzio huonekanakama kidonda cha kawaida.tunajazana masifa tusiyostahili wakati ambapo hata kazi ya uokoaji kwenye majanga inatushinda rejea ajali ya mv Bukoba na hivi majuzi Nungwi hao unaowasifia walitoa mchango gani au ujanja ni kutumia silaha tu?
 
Na Waisraeli pi walikuwa wanawasaidia Wakenya ? Al Shabab wangapi wamekamatwa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…