WESTGATE MASSACRE: 41 YEARS KENYA's STILL BEHIND

WESTGATE MASSACRE: 41 YEARS KENYA's STILL BEHIND

bonge la analysis,ila hata TZ ikitokea watafanya uzembe kama wa KDF,zile silaha za kule Goma nahisi ni za MONUSCO.KDF ovyo sana,yaani wakenya hamna kitu kabisa zaidi ya kujifanya wako civilized.
 
bonge la analysis,ila hata TZ ikitokea watafanya uzembe kama wa KDF,zile silaha za kule Goma nahisi ni za MONUSCO.KDF ovyo sana,yaani wakenya hamna kitu kabisa zaidi ya kujifanya wako civilized.

Pixel MONUSCO ni mission name ya UN na UN HAWAMILIKI silaha wala askar kinachofanyika ni members kutoa contribution ya askar na vifaa halafu UN wana assist kwenye auxiliaries mfano posho kwa askar, service za vifaa, mafuta, compensation iwapo kuna loss ya vifaa au watu au vifaa vilivyotumika nk. Vifaa unavyo viona GOMA ni mali ya JWTZ hata yale magar meupe yameandikwa UN ni mali ya JW ndio maana unaona wanayaonesha pale taifa kwenye sherehe za kitaifa ispokua kule UN wana ya assign kwa basis ya contribution tu na kila mwanachama lazima afanye hivyo.
 

hivi walishindwa nini kuzima umeme usiku na kuiacha Mall iwe giza ili waingie na silaha huku wakiwa wamevaa night vision goggles au heat vision goggles

huku waki
move, five meter spread, no sound. double pack, heads up
hiyo haikuwa chaguo zuri kwani kulikuwa raia na mateka kwenye je.ngo!!
 
TZ kijeshi iko fit sana,hapa East africa na central hakuna wa kuigusa,nilimshangaa kagame eti anajaribu kumkoromea JK,TZ ni taifa kubwa lililoweka tawala nyingi madarakani africa,hata S.A sisi tuli fight sana hata wakafika pale walipo.sasa ni zamu ya congo kupata liberation toka kwetu,kagame akileta zake,tunamdunda na kumtoa madarakani.
 
siraha za aina zote zilikuwepo, sema kila kundi la askari walikuja na za kwao ila wale special force wao walikuwa na siraha zenyewe kabisa za hadhi ya operation ya special force tatizo ni kuwa vikosi vyoote havikuwa coordiated kila watu walikwa na command center yao na hawategemeani, walikuwa disorganized na hawakujua nini cha kufanya. istoshe kila kunid lilimdharau mwenzake na wakaanza kuchukiana na kurushiana lawama

hata kama wangeingia na hayo matarumbeta yao still operation ilikuwa ndogo sana. pia woote walikuwa waoga na walikuwa katika hali ya kupaniki.
siasa za kijinga nazo ziliwafanya washindwe kutumia utaalamu uliokuwepo pale kama pale ule waziri alipo sema .... we thank our partners for their support but our commitment to defend our country had never been a hire....sasa hapo unategemea nini. kwanza kusingetakiwa kuongea na mtu pale. cha ajabu wale waasi waliweza hata kupokea simu kitu ambacho ingekuwa ni matter of seconds kwa IDF(Israel) ku-scramble any communication kati ya hao jamaa na directors wao
hata police inaonekana waliweza kuwaona wale magaidi kwenye CCTV wakati tukio likiendelea ila waligoma ku-share na jeshi ambao walichukua hatamu kwa kuwafukuza kwa kuwadhalilisha kabisa including kuwauwa

huwezi ukawa unatoa updatea wakati operation yenyewe inaendelea. walitakiwa kusema maneno machache tu lakini wao walikuwa wanaelezea hadi tactical issues za vikosi! hii ni Kenya pekee ndo inaweza kufanya hivyo ila kwa upande wa zana mi sidhani kuna kilichokua kimepungua pale, zingetosha kabisa

http://www.youtube.com/watch?v=DMdsRHvn3SM
 
Back
Top Bottom