tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,972
- 20,221
Unataka kusema PPF tower liko Posta? Millenium tower liko Posta?Umeitisha over 20, umepewa tena unabadilisha Goli. Nairobi over 30 zinajengwa Upperhill na Westy, Dar zote ziko Posta.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kusema PPF tower liko Posta? Millenium tower liko Posta?Umeitisha over 20, umepewa tena unabadilisha Goli. Nairobi over 30 zinajengwa Upperhill na Westy, Dar zote ziko Posta.
millenium tower is 27 floors. Labda PPF pekee ndio 30 floors outside Posta.Unataka kusema PPF tower liko Posta? Millenium tower liko Posta?
Sasa shida yako wewe Nakuruwalker ni ubishi hahahamillenium tower is 27 floors. Labda PPF pekee ndio 30 floors outside Posta.
Umeitisha list nimekupa sasa umeanza bra bra mingi badala unilitee list ya posta umeanza utoto wa ooh 20flr ziko makumbushi oh 30flr ni moja wacha hisia za kike we mwanaume na itachukua iyo posta yenyu miaka hamsini kufika kwenye cbd yetu iko ....Iyo kicc haina namba maalumu Za flr zake?
Btw naona Ni nyumba moja tu yenye 30flr+ wakati posta ziko 8
Izo Za 20flr + hata makumbusho zipo
Posta sio size yako ,ukiona umeumia tafuta transfomer iliokaribu ikumbatie
Sikuwa najua nabishana na mtoto wa kike huyo niwaku ignore tu....millenium tower is 27 floors. Labda PPF pekee ndio 30 floors outside Posta.
Facts sio ubishi.Sasa shida yako wewe Nakuruwalker ni ubishi hahaha
Ifikie nn hasa?my ribs 😀 😀Umeitisha list nimekupa sasa umeanza bra bra mingi badala unilitee list ya posta umeanza utoto wa ooh 20flr ziko makumbushi oh 30flr ni moja wacha hisia za kike we mwanaume na itachukua iyo posta yenyu miaka hamsini kufika kwenye cbd yetu iko ....
Botta wewe ndio wakike acha kujikuta mtaalam sanaSikuwa najua nabishana na mtoto wa kike huyo niwaku ignore tu....
Sasa imebidi posta isaidiwe na hizo area zingine.....kweli westy kiboko[emoji192][emoji192][emoji192][emoji192]Hii ndio posta bwana msifananishe na uchafuView attachment 911069View attachment 911070View attachment 911071View attachment 911072View attachment 911073View attachment 911074View attachment 911075View attachment 911076View attachment 911077View attachment 911078View attachment 911079View attachment 911080View attachment 911081
Tafuteni sehemu nyingine ya kufananisha na posta huwezi fananisha postanamahali kumejaa vichaka vya kujifichia wakora hivi umeona picha za posta wacha kujifanya umevaa miwani ya mbao hata kama unapenda vyenu kubali kushindwa west miti ni mingi kuliko nyumbaSasa imebidi posta isaidiwe na hizo area zingine.....kweli westy kiboko[emoji192][emoji192][emoji192][emoji192]View attachment 911156View attachment 911158View attachment 911159View attachment 911160View attachment 911161View attachment 911162
Haha Westy vs DarTafuteni sehemu nyingine ya kufananisha na posta huwezi fananisha postanamahali kumejaa vichaka vya kujifichia wakora hivi umeona picha za posta wacha kujifanya umevaa miwani ya mbao hata kama unapenda vyenu kubali kushindwa west miti ni mingi kuliko nyumba
Fungueni uzi mwingine NBO CBD vs Posta. ..westy imeshakula kichapo cha mbwa jizi
CBD yenu imechoka haiendani na Posta ndio maana mnaleta vimiji vichanga kama westy na upper hill ambako walau kuna nyumba kadhaa zakuokotezaHakuna haja ya kuwaaibisha CBD na Upper hill itakua kama rape case
CBD yenu imechoka haiendani na Posta ndio maana mnaleta vimiji vichanga kama westy na upper hill ambako walau kuna nyumba kadhaa zakuokoteza