Weupe machoni

kataip

Senior Member
Joined
Aug 21, 2013
Posts
145
Reaction score
80
Habari wanajukwaa!

Tatizo la weupe kwenye macho hasa pembeni ya jicho unatoka kwa nje kuliani au kushotoni. Huwa unasababishwa na nini na vipi unaweza kuutibu?

Nina hilo tatizo kama mwaka sasa niliwahi kutumia dawa za macho lakini hazikusaidia. Naombeni mnisaidie.

Wapi Mzizimkavu na timu yake.
 
check damu Mkuu,inawezekana imepungua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…