Weusi katikati ya mapaja

Weusi katikati ya mapaja

Deborita

Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
37
Reaction score
11
wadau naomben msaada kitu gani ntatumia kuondoa weusi katikati ya mapaja
 
...loh jamani madaktari msaidieni,ila usitumie made in china utakuwa wa kijani kabsaaa...
 
kuna product moja ya forever living ni nzuri sana na imesaidia wengi tafuta wasambazaji wake au ni Pm ni kuunganishe.
 
....uwe unavaa nguo nyepesi za pamba (cotton)...jioni/usiku/ukiwa home vaa msuli/dera halafu uwe unapaka asali
 
Back
Top Bottom