Weusi kwenye makwapa.

Linamo

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
9,976
Reaction score
24,496
Habari JF....Naomba kwa anayejua namna ya kuondoa weusi kwenye makwapa anijulishe!! Nawasilisha.
 
unaona aibu kuvaa vile vikamba vyenu na makwapa nje? bora usipate msaada ili uvae nguo za kuficha weusi wa makwapa yako,na harufu je? i wazi itakuwa kali sana kwa sababu ya weusi wa makwapa..
 
Pole sana uwe unasugua kwa limao ama ndimu dakika kama kumi ama tano kabla kwenda kuoga kisha sugua kwa dodoki laini na sabuni baada ya kuoga kausha vizuri na taulo upake aloe vera shield deodorant itakusaidia kuondosha huo weusi ama ujaribu kupata body spray zisizo dry mara nyingi huwa zinaweza kukupa huo weusi kwenye makwapa kama husugui kila siku kwa dodoki baada ya matumizi jioni ukirejea nyumbani.
Ushauri wangu ndio huo tu.!
 
unaona aibu kuvaa vile vikamba vyenu na makwapa nje? bora usipate msaada ili uvae nguo za kuficha weusi wa makwapa yako,na harufu je? i wazi itakuwa kali sana kwa sababu ya weusi wa makwapa..

unataka kusema kuwa the blacker the kwapa the stronger the harufu?
 
Tumia hizi sabuni za kuoshea vyombo mf mbuni,komoa na komesha kiasi zinasaidia.
 
unaona aibu kuvaa vile vikamba vyenu na makwapa nje? bora usipate msaada ili uvae nguo za kuficha weusi wa makwapa yako,na harufu je? i wazi itakuwa kali sana kwa sababu ya weusi wa makwapa..

Mtu mzma kama ww kuongea upumbavu cyo sifa huna la kuchangia funga domo lako...unazani kama mkeo ananuka kwapa na k ni wote???
 
Habari JF....Naomba kwa anayejua namna ya kuondoa weusi kwenye makwapa anijulishe!! Nawasilisha.

Kuna deodorant flan ya orange inaitwa orange extract kama cjakosea,waweza nunua ebay au pale AK cosmetics huchukua mda ila kwapa linakuwa na rangi fair.
Kupaka malimao ni kupunguza harufu na kutoka kwingi kwa jasho..dont get it twisted.
 
Mtu mzma kama ww kuongea upumbavu cyo sifa huna la kuchangia funga domo lako...unazani kama mkeo ananuka kwapa na k ni wote???

Linamo punguza hasira na jazba mpz ili uweze kusaidiwa ukikosea thread ukaenda off topic watu wataacha kuchangia na kuangalia ushabiki wa maneno mnayojibizana. be patiency kuna watu wa kila aina humu
 
Last edited by a moderator:

hahahaaaaa,itakuwa kweli kwapa lako na k yako inanuka sana ndo maana uko na stress kibao,pole zako
 
Ww mpuuzi kweli soma thread vizur....cjakuambia kwapa kutoa harufu nimekuambia weusi kwnye kwapa sasa unapayuka payuka kama una hegefea hapa.
 
Linamo punguza hasira na jazba mpz ili uweze kusaidiwa ukikosea thread ukaenda off topic watu wataacha kuchangia na kuangalia ushabiki wa maneno mnayojibizana. be patiency kuna watu wa kila aina humu

Yy ndo anayehama kwnye thread cjasema harufu nimesema weusi....Ahsante kwa ushauri...
 
Last edited by a moderator:
Nshawahi sikia kusgua kwa limao au ndimu inasaidia.

Husaidia kwa wenye harufu za kwapa na siyo kutoa weusi....kuna tofauti kati ya harufu na weusi mi nataka namna ya kuondoa weusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…