Weusi kwenye makwapa.

Weusi kwenye makwapa.

Kuna deodorant flan ya orange inaitwa orange extract kama cjakosea,waweza nunua ebay au pale AK cosmetics huchukua mda ila kwapa linakuwa na rangi fair.
Kupaka malimao ni kupunguza harufu na kutoka kwingi kwa jasho..dont get it twisted.

Ahsante!!!
 
Habari JF....Naomba kwa anayejua namna ya kuondoa weusi kwenye makwapa anijulishe!! Nawasilisha.
dark-underarms.jpg

670px-Get-Rid-of-Dark-Armpits-Step-1.jpg

2ngahhg.jpg
 
1. Tumia waxing, itakuepusha ku shave mara kwa mara kwani viwembe vinafanyisha weusi.
2. Tumia body spray, dry. Usitumie deodorant za ku roll au sticky

Ila wengine ni maumbile unaweza kujitahd utavojitahd lkn weusi usitoke labda utapungua tu
 
Ww mpuuzi kweli soma thread vizur....cjakuambia kwapa kutoa harufu nimekuambia weusi kwnye kwapa sasa unapayuka payuka kama una hegefea hapa.

mpuuzi mama yako mzazi weee,inaonekana harufu ya kwapa kali mpaka ishafika kwenye ubongo?? akili fupikama kaptula ya mkloni ms.e.eng.e kabisa
 
Habari JF....Naomba kwa anayejua namna ya kuondoa weusi kwenye makwapa anijulishe!! Nawasilisha.

nilishawahi kuongea na mdau mmoja aliniambia yeye alitumia "aloevershield"index.jpg namimi nimejaribu kuitumia kusema kweli ni nzuri. na kusoma content yenyewe haina madini ya aluminium ambayo yanawekwa kuzuia jasho isitoke. ivo ule uchafu na madini ya chumvi chumvi ya aluminium sababu hayatoki nje kama uchafu. yanarundikana katika kwapa na husababisha weusi katika kwapa na ikiwa chronic sana ndo unasikia mtu kapata cancer. sasa kama uchafu hautoki nje unazuiwa unaenda wap? na iyo aluminium inayoingia kwa njia ya kwapa haitoki inaenda wap?

*uzuri wake ni rahisi na inakaa mda mrefu sana,nimekaa nayo miezi minne.hata harufu sehemu ya siri inaondoa.yenyewe inatokana na bidhaa za nyuki na nta yani kiasili,nzuri sana na pia nimejaribu kupaka katikati ya mapaja imetoa weusi,kwenye miguu sipati tena fungus wala miguu kunuka. weusi wowote katika mikunjo kumbe inaondoa. hata katikati ya makalio weusi inaondoa.
*mcheki uyu braza 0765377506,jina simjui but anazo anauza 15000/= @
deodorant.jpg
 
nilishawahi kuongea na mdau mmoja aliniambia yeye alitumia "aloevershield"View attachment 130879 namimi nimejaribu kuitumia kusema kweli ni nzuri. na kusoma content yenyewe haina madini ya aluminium ambayo yanawekwa kuzuia jasho isitoke. ivo ule uchafu na madini ya chumvi chumvi ya aluminium sababu hayatoki nje kama uchafu. yanarundikana katika kwapa na husababisha weusi katika kwapa na ikiwa chronic sana ndo unasikia mtu kapata cancer. sasa kama uchafu hautoki nje unazuiwa unaenda wap? na iyo aluminium inayoingia kwa njia ya kwapa haitoki inaenda wap?

View attachment 130880

Gud....
 
Ahsante nitamtafuta.
 
Forever living!!!!!!ni biashara tu kama biashara nyingne.kama ni jeus ni jeus tu.
 
Back
Top Bottom