weusi mapajani kwa kina dada

weusi mapajani kwa kina dada

yoyo

Member
Joined
Aug 3, 2012
Posts
19
Reaction score
4
Hvi unaezaje kuondoa weusi juu ya mapaja kutokana na msuguano wakati wa kutembea ama mchubuko....advice..
 
niliambiwa ukiwa unavaa skintait inasaidia lakini sioni hata matokeo
 
Huo weusi sio kwasababu ya kutemba ni FUNGUS hizo, tafuta dawa yake!!
 
Dawa ninayo nitakusaidia, uwe mweupe mapajani cjui unataka umuonyeshe nani wakati unayafunika na nguo, au unataka kutembea uchi nini?? Nakuerekeza dawa chukua nyasi kavu nyingi zichome moto kisha jibabue mapajani halafu itaota ngozi mpya, acha ushamba mtu wangu mngu kakupa hiyo langi, ungezaliwa kwa wagogo basi au kondoa!!!!!!!!!!!!
 
Umeangalia na wengine kwao kukoje? Yaweza kuwa ndio maubile yako!
 
niliambiwa ukiwa unavaa skintait inasaidia lakini sioni hata matokeo

Sababu ya weusi inatokana na msuguano wa mapaja wakati wa kutembea (friction), ukiwa unavaa shorts, wenyewe wanaziita spanx inasaidia sana. Mimi nimeona matokeo hayo lakini uwe unavaa bila kukosa labda wakati wa kulala tu, ukiizoea mwenyewe hutaiacha maana hutahitaji underskirt.
 
Dawa ninayo nitakusaidia, uwe mweupe mapajani cjui unataka umuonyeshe nani wakati unayafunika na nguo, au unataka kutembea uchi nini?? Nakuerekeza dawa chukua nyasi kavu nyingi zichome moto kisha jibabue mapajani halafu itaota ngozi mpya, acha ushamba mtu wangu mngu kakupa hiyo langi, ungezaliwa kwa wagogo basi au kondoa!!!!!!!!!!!!

Hujui kuna watu wanavaa vimini na shorts..
 
Dawa ninayo nitakusaidia, uwe mweupe mapajani cjui unataka umuonyeshe nani wakati unayafunika na nguo, au unataka kutembea uchi nini?? Nakuerekeza dawa chukua nyasi kavu nyingi zichome moto kisha jibabue mapajani halafu itaota ngozi mpya, acha ushamba mtu wangu mngu kakupa hiyo langi, ungezaliwa kwa wagogo basi au kondoa!!!!!!!!!!!!

Nina hakika upo chini ya miaka 17. Hili sio jibu la mtu mzima na kama wewe ni mtu mzima familia yako ina hasara kubwa.
 
acha kuropoka!...
muelewe mtoa mada!
 
Nina hakika upo chini ya miaka 17. Hili sio jibu la mtu mzima na kama wewe ni mtu mzima familia yako ina hasara kubwa.

Hakuna cha 17, mmezidi na nyie mbona weusi mzuri huo au unaongea kitu kingine.
 
Sababu ya weusi inatokana na msuguano wa mapaja wakati wa kutembea (friction), ukiwa unavaa shorts, wenyewe wanaziita spanx inasaidia sana. Mimi nimeona matokeo hayo lakini uwe unavaa bila kukosa labda wakati wa kulala tu, ukiizoea mwenyewe hutaiacha maana hutahitaji underskirt.
asante mpenzi,ngoja na mimi nizitafute izo spanx
 
Back
Top Bottom