Engager
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 1,522
- 3,255
- Thread starter
- #21
Anakulisha yeyeSio kweli, hii ni stereotype usiiamini
Unajikandamiza, unauhusisha utu wako na mali
Utakapokosa hizo mali/ukiwa nazo kidogo utakosa na furaha
And yes, you can be loved for just the way you are
Anakuvisha yeye
Bando anakununulia yeye
Kodi ya pango analipa yeye/Nyumba kajenga yeye
Bili ya umeme na maji analipa yeye
Ada ya watoto analipa yeye
Wazazi wako wakiwa na shida anawasidia yeye
Wazazi wake wakiwa na shida anasaidia yeye
And she just love you the way you are?! We ulisikia wapi?! Huyo mwanamke ulimuona wapi?!