Anakulisha yeyeSio kweli, hii ni stereotype usiiamini
Unajikandamiza, unauhusisha utu wako na mali
Utakapokosa hizo mali/ukiwa nazo kidogo utakosa na furaha
And yes, you can be loved for just the way you are
Umekariri tu siku hizi wanawake nao wanaprovideI don't mean you can't love yourself! You can, but mostly as a man in natural selection you have to be strong to provide. Being loved as a man you have to offer something, because masculine is about provision we are meant to provide. Mwanamke ana feel comfortable kwa mwanaume anae provide. That's how things work. Tukiondoa stereotypes zote hii ndo jinsi mambo yalivyo.
Bro acha drama basi πUzi umeniliza sana, ahsante kwa ujumbe......
Yeye hana hela? Tulieni basiAnakulisha yeye
Anakuvisha yeye
Bando anakununulia yeye
Kodi ya pango analipa yeye/Nyumba kajenga yeye
Bili ya umeme na maji analipa yeye
Ada ya watoto analipa yeye
Wazazi wako wakiwa na shida anawasidia yeye
Wazazi wake wakiwa na shida anasaidia yeye
And she just love you the way you are?! We ulisikia wapi?! Huyo mwanamke ulimuona wapi?!
Ukiona hivyo jua, wamekinzana na jinsi nature ilivyo..., how does it feel to be a man na una lelewa na mwanamke?Umekariri tu siku hizi wanawake nao wanaprovide
Ngoja nikuache
Bro hii ni serious, watu tunapendwa halafu tulikua hatujaambiwa kwa kina hivi....lazma ulie broBro acha drama basi π
Sio kulelewa ni kusaidianaUkiona hivyo jua, wamekinzana na jinsi nature ilivyo..., how does it feel to be a man na una lelewa na mwanamke?
Sikubaliani na wewe.Hili ndilo swali la kwanza kabisa mwanamke analojiuliza. Na kuanzia hapo taratibu mapenzi hupungua na kisha kuisha kabisa. Ila kwa mwanamume haiko hivo.
Hakuna kitu kama kusaidiana kwenye mahusiano, ni kuwajibika.Sio kulelewa ni kusaidiana
Tunapeana hela
Huo ndo ukweliUzi ulikuwa mzuri sana
Ulipofika hapo ukaharibu
Mimi na yeye ni mabro! Ujue Eva bwana ni kati ya wahenga wenzetu ambae personality yake haijawahi kubadilika. I love me some her!ππ
Mbona Bro Evelyn Salt ..? Nimelia sana pia..!!
Nampenda pia kiukweli, mzee wa 'piga chini'..!ππMimi na yeye ni mabro! Ujue Eva bwana ni kati ya wahenga wenzetu ambae personality yake haijawahi kubadilika. I love me some her!