Wewe dada wa PPF hapo kwenye jengo la PSPF (posta) ninahitaji namba yako seriously.

Wewe dada wa PPF hapo kwenye jengo la PSPF (posta) ninahitaji namba yako seriously.

Nisamehe mkuu nilidhani labda umeshawahi kutumia usafiri wa ndege.
Mkuu usijali, kwakuwa nipo kwenye mikiki mikiki ya kuutafuta uhuru wa kipato nitapanda sana na itakuwa kama nipandavyo daladala Mungu akiendelea kunilinda.
 
Kama wewe unavyokuwa pale mghahawani kwako maana sio kwa kukusifia chakula chako kitamu aisee NAHUJA wake jamani
aahahahaahh, hata polisi unaweza kwenda ukamkuta mrembo, lakini akawa mkali sana, yaano tuu hashi, pia hapo ujue ni LABOUR EMOTION, niki maanisha ni mazingira ya kazi yanayomfanya umuone kama ulivyomuona.
Kwa mfano huyo dada unayesema alikuchekea itakuwa ni mazingira ya kazi yake yanampasa acheke hivyo kwa mteja wake awe mchangamfu.
 
Daaah! mi kuna dada Mmoja ananichekeagacheakeaga pale CHOPPIES MAKUMBUSHO! Ngoja nifanye utafiti nijue kama ni LABOUR EMOTION ama!
 
Nimekuja hapo majira ya saa sita kufuatilia michango yangu.

Kutokana na mazungumzo yetu hapo, kicheko chako na tabasamu tamu ulilonionyesha vyote kwa ujumla vikanifanya nikuombe namba ila ukakataa kwa madai bosi wako anatutazama huku ukiiangalia cctv camera kwa jicho la kuibia tena la kurembua.

Nikakuuliza unatoka saa ngapi ili nikusubiri ndio kabisaa ukazidisha kicheko huku ukitikisa kichwa kuashiria hutaki (jamani), nikaamua kutoka ili wengine wapate huduma.

Kama uko humu hebu kuja pm tafadhali tuyajenge.
 
Wanaume wa dar hovyo sana.
 
Back
Top Bottom