Nisamehe mkuu nilidhani labda umeshawahi kutumia usafiri wa ndege.Wengine bado muda wetu wa kukwea pipa haujafika, labda tu nivute picha mkuu.
Alichokufanyia huyo dada sisi kule upareni tunaita LABOUR EMOTION
aahahahaahh, hata polisi unaweza kwenda ukamkuta mrembo, lakini akawa mkali sana, yaano tuu hashi, pia hapo ujue ni LABOUR EMOTION, niki maanisha ni mazingira ya kazi yanayomfanya umuone kama ulivyomuona.
Kwa mfano huyo dada unayesema alikuchekea itakuwa ni mazingira ya kazi yake yanampasa acheke hivyo kwa mteja wake awe mchangamfu.
ukipata namba, kifuatacho itv ni kushare naye mafao, ie anaongezeka kwenye beneficiaries!Kivipi mkuu?
Namjua huyo ngoja nikutumie namba yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa endelea kusubiriHahahaa naisubiri kwa hamu kubwa sana mkuu.
Nimekuja hapo majira ya saa sita kufuatilia michango yangu.
Kutokana na mazungumzo yetu hapo, kicheko chako na tabasamu tamu ulilonionyesha vyote kwa ujumla vikanifanya nikuombe namba ila ukakataa kwa madai bosi wako anatutazama huku ukiiangalia cctv camera kwa jicho la kuibia tena la kurembua.
Nikakuuliza unatoka saa ngapi ili nikusubiri ndio kabisaa ukazidisha kicheko huku ukitikisa kichwa kuashiria hutaki (jamani), nikaamua kutoka ili wengine wapate huduma.
Kama uko humu hebu kuja pm tafadhali tuyajenge.
Wanaume wa dar hovyo sana.Nimekuja hapo majira ya saa sita kufuatilia michango yangu.