carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,562
- 285,591
Yaani nimecheka ka chizi,kwakweli udomo zege ni mtihani[emoji23][emoji23]Marahaba carba akwende uko china akasomee udome zege asitusumbue uku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseeeh[emoji23][emoji23][emoji23]JF Bhana mi nilifikiri watu wanaanza na kwanini kila mmoja amejikita kumpa lawama mtoa post si vizuri muwe wakarimu
Mnajuaje labda Jamaa ni BUBU je tuweni wastaarabu WAKUU
Ni hayo tu ..
alikuwa na smartphoneMkuu kama ulivyo sema the way huyo dada alivyo natural sidhani kama atakuwa ana smartphone ambayo ingemuwezesha kuingia humu JF na kuisoma thread yako,
Siku nyingine ukimuona binti mrembo anaye jitambua na kujiheshimu kama huyo changamkia fursa, wadada kama hao siku hizi adimu sana kupatikana,
Si ulimuona live ukashindwa kumsimamisha na kumwelezaLilikuwa ni basi la mwendokasi linalotokea ubungo kwenda kivukoni between saa 3 asubuhi mpaka kama saa 4 hivi
Ulikuwa umekaa kwenye moja ya seats za mbele ambazo unaangaliana na watu waliokaa upande wa pili.
Ulivaa ulivaa gauni lenye mistari ambayo imelala na sandals japo nashindwa kukumbuka rangi ya gauni lako.
Tumeshuka wote kituo kimoja ambacho ni MUNICIPAL COUNCIL(BANDARI) and while tunashuka mlangoni nilikuwa mbele yako.
Nimelazimika kuja kuandika hapa sababu tu ya jinsi nilivopagawa na muonekano wako. Upo natural sana hadi nimebaki tu na maswali kwamba nipo dar kweli au nimeingia wapi leo.
Nywele zako ni natural na ulizibana vizuri sana, Hujatoboa masikio, kucha zako za mikono na miguu umezikeep short hujazipaka rangi na ni safi and rangi ya ngozi yako ni nzuri na ni natural. You were very smart. Najiona nimekuwa blessed leo kwa kukuona vile ulivokuwa. I have aprreciated your appearance.
I was looking at you all the journey from Urafiki to City Council ambapo tulishuka wote. I wish even to say hi to you.
Naamini kwamba unaweza ukapita huku. Please just come pm hata kama hautonipa namba yako its okey. But I have prepared something for you as appreciation for vile ulivokuwa.
I hope you won't refuse.
Thank you
Polee,ntakutaftia no yake chiefSawa bhana kwa hiyo ulishindwa hata kutoa kamsaada hata kadogo tu...
Ohooo[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Ulikuwepo nini kwenye mwendokasi muda huo?
Utaliwa wewe usijaribu sumu kwa kuilamba.Anaye niogopa ndiyo mzuri tena ukimgundua hapo ndipo unaongeza mbwembwe na madoido[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Leo kila mtu anajidai anajua kutongoza humu. Mimi ni mmoja wa watu ambao ni ngumu sana kutongoza stranger in public transport,places. Kwa thread hii nimejijua ni domo zege.Wanaume wa dar shida tupu.unaweza kwenda kuloga kwamba hutongozwi kumbe watu hawajui kutongoza.ila sishangai kama China kutongoza imekuwa tatizo hadi wanaanzisha darasa je Tanzania tatizo litakuwa kiwango gani?
Janga la dunia hilo
Hata namba unashindwa kuomba? Unamwambia Dada sijui nilikuona wapi blah blah nini.utapewa tu namba.Leo kila mtu anajidai anajua kutongoza humu. Mimi ni mmoja wa watu ambao ni ngumu sana kutongoza stranger in public transport,places. Kwa thread hii nimejijua ni domo zege.
A total stranger? Siwezi,leo ndio nimejua kuwa ni domo zege.Hata namba unashindwa kuomba? Unamwambia Dada sijui nilikuona wapi blah blah nini.utapewa tu namba.
Basi subiri tukutafutie maana huwezi oa ndugu zako utaoa total strangerA total stranger? Siwezi,leo ndio nimejua kuwa ni domo zege.