Wewe dada wewe niliyekuona kwenye mwendokasi leo

Wewe dada wewe niliyekuona kwenye mwendokasi leo

Marahaba carba akwende uko china akasomee udome zege asitusumbue uku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani nimecheka ka chizi,kwakweli udomo zege ni mtihani[emoji23][emoji23]
 
Sasa alikwambia yuko JF? Ndo maana mnasemwaga wanaume wa Dar
 
hahahahahh... naona kila mtu amekimbilia kwenye udomo zege. inapendeza kwa kweli....
 
Mkuu kama ulivyo sema the way huyo dada alivyo natural sidhani kama atakuwa ana smartphone ambayo ingemuwezesha kuingia humu JF na kuisoma thread yako,
Siku nyingine ukimuona binti mrembo anaye jitambua na kujiheshimu kama huyo changamkia fursa, wadada kama hao siku hizi adimu sana kupatikana,
alikuwa na smartphone
 
Lilikuwa ni basi la mwendokasi linalotokea ubungo kwenda kivukoni between saa 3 asubuhi mpaka kama saa 4 hivi

Ulikuwa umekaa kwenye moja ya seats za mbele ambazo unaangaliana na watu waliokaa upande wa pili.

Ulivaa ulivaa gauni lenye mistari ambayo imelala na sandals japo nashindwa kukumbuka rangi ya gauni lako.

Tumeshuka wote kituo kimoja ambacho ni MUNICIPAL COUNCIL(BANDARI) and while tunashuka mlangoni nilikuwa mbele yako.

Nimelazimika kuja kuandika hapa sababu tu ya jinsi nilivopagawa na muonekano wako. Upo natural sana hadi nimebaki tu na maswali kwamba nipo dar kweli au nimeingia wapi leo.

Nywele zako ni natural na ulizibana vizuri sana, Hujatoboa masikio, kucha zako za mikono na miguu umezikeep short hujazipaka rangi na ni safi and rangi ya ngozi yako ni nzuri na ni natural. You were very smart. Najiona nimekuwa blessed leo kwa kukuona vile ulivokuwa. I have aprreciated your appearance.

I was looking at you all the journey from Urafiki to City Council ambapo tulishuka wote. I wish even to say hi to you.

Naamini kwamba unaweza ukapita huku. Please just come pm hata kama hautonipa namba yako its okey. But I have prepared something for you as appreciation for vile ulivokuwa.

I hope you won't refuse.

Thank you
Si ulimuona live ukashindwa kumsimamisha na kumweleza

Ukute dada naye anatafuta mchumba siku nyingi hampati
 
Nakujaaa[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Anaye niogopa ndiyo mzuri tena ukimgundua hapo ndipo unaongeza mbwembwe na madoido[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Utaliwa wewe usijaribu sumu kwa kuilamba.
 
Wanaume wa dar shida tupu.unaweza kwenda kuloga kwamba hutongozwi kumbe watu hawajui kutongoza.ila sishangai kama China kutongoza imekuwa tatizo hadi wanaanzisha darasa je Tanzania tatizo litakuwa kiwango gani?
Janga la dunia hilo
Leo kila mtu anajidai anajua kutongoza humu. Mimi ni mmoja wa watu ambao ni ngumu sana kutongoza stranger in public transport,places. Kwa thread hii nimejijua ni domo zege.
 
Leo kila mtu anajidai anajua kutongoza humu. Mimi ni mmoja wa watu ambao ni ngumu sana kutongoza stranger in public transport,places. Kwa thread hii nimejijua ni domo zege.
Hata namba unashindwa kuomba? Unamwambia Dada sijui nilikuona wapi blah blah nini.utapewa tu namba.
 
Story zako zitakua ni hivi hivi usipobadilika!!!
 
Back
Top Bottom