Wewe endelea kushika lililopo

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Kila mtu anapambana na life lake kwa sasa.usiogope Sana kuhusu taarifa za vifo maisha bado yapo Sana Cha msingi simamia Lile unalofanya shikamana nalo Kama una biashara au kazi endelea kuumiza kichwa nayo.we SI unaona rais mwenyewe anawaza miradi badala ya kuwaza afya zenu.ukizidi kuwaza utachoka Sana Kama Ni corona wengi tulishapata dalili zake tunaijua vizuri wengi tutapona Ila Kama Ni kweli Kuna covid mpya tofauti na ile ya mwaka Jana iliyotupiga karibia wote basi tuendelee kusubiri inakujaje
 
Tahadhari ni muhim nawa mikono kwa maji tiririka kama wanavyosema na sabuni usisahau na sanitaiza kama wanavyoshauri mita mbili pia zingatia.... Mengine wataongezea.
 
Wewe unatufundisha kushikamana na ya dunia wakati bado kitambo kidogo tutakuwa tukipepea mawinguni 😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…