ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kila mtu anapambana na life lake kwa sasa.usiogope Sana kuhusu taarifa za vifo maisha bado yapo Sana Cha msingi simamia Lile unalofanya shikamana nalo Kama una biashara au kazi endelea kuumiza kichwa nayo.we SI unaona rais mwenyewe anawaza miradi badala ya kuwaza afya zenu.ukizidi kuwaza utachoka Sana Kama Ni corona wengi tulishapata dalili zake tunaijua vizuri wengi tutapona Ila Kama Ni kweli Kuna covid mpya tofauti na ile ya mwaka Jana iliyotupiga karibia wote basi tuendelee kusubiri inakujaje