Mnyenz
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 2,933
- 8,112
Mie mwenyewe bila kufosiwa nilivuta maskani (nilikua na kipimo maalum)
Sasa mambo ya masifa yalipoanza nikaanza kuongeza dozi(si unajua tena kushinda shinda stand nikajiona dereva)
Nakumbuka siku hiyo nilipiga kitu mpaka nikajiskia landa nyingine duniani hakuna. Nikajiona kooooonkiiiii. Nikasimama nikasema Konkiiiiiiiiii
Madogo wakajibu mastaaaa, nikasimama nikapiga saruti nao wakajibu wakiwa wamekaa.
Basi kuanzia siku hiyo nikawa naitwa Konki,sasa kuna siku kulitokea ubishani mie nikasema mi kaka yao hivyo waniheshimu, ninafanya kazi ofisini ninalipwa kwa cheki wao wanalipwa kwa M-Pesa, jina langu likabadilika, nikaanza kuitwa KAKA KONKI.
Ile kaka KONKI ikazoeleka sasa nikawa nikifika maskani naita KONKIII , wao wanajibu MASTA, halafu tunaendelea kuwasha jani.
Wakaja wakawa wanafupisha tu wananiita KK(kaka KONKI)
Baaaaaasi baada ya kuitwa KK nikajiona Afande kweli.
Nikaja nikamkaba askari wa KK nikamchukulia Kofia tu
Nikawa naivaa kila nikienda maskani, nikifika naita KONKII wao wanajibu MASTAAAA tunakaa tunawasha jani.
Kama utani likawa jeshi langu la watu kama kumi hivi(jamani makundi ya waasi hayaanzagi hivi hivi, yanaanzaka kijinga sana)
Nikawa nikifika maskani na kofia yangu ya KK napigiwa saluti, nakagua Gwaride, mbwa wangu(BOBI) nae anapigiwa saluti kisha tunaondoka,.
Hata kama siku naumwa, ntatumiwa chopa(kademu kazuri) kanakuja nyumbani kananichukua naenda maskani nakagua gwaride kisha narudi nyumbani kulala.
Siku tupo maskani tukaja na wazo la kupindua nchi (sio Tanzania)kwa bunduki za mabua, tukaanza kujiita
Majina ya Kijeshi(cpt, sajenti, komando)
Mie nikawa president.
Siku ya kwenda kupindua nchi tukakubaliana tukutane maskani, nilipofika nikaita KK, wakajibu KONKI MASTA,
Nikaanza kukagua gwaride huku napiga jani, nikimuona kuruta hafai nampulizia moshi machoni kama wanavyofanyaga kwenye ma muvi, nikimpulizia analia huku anajibu mastaaaa
Naendelea kupulizia.
Nikakagua mpaka nikaridhika kuwa ntaweza kupindua nchi. Nikawa na kiburi nikajiita Mobutu Dzeko. Nikavaa joho lililotundikwa kwenye mwembe maskani kwetu.
Nikakagua gwaride, naenda nyuma narudi mbele
KONKII MASTAAAAA(wanajibu)
Nikawasha kubwa kuliko(jani) nikaendelea kuvuta nikawa naita konkii kidhaifu wao wanajibu kwa nguvu kumbe mie nishalewa nawaza mengine kabisa,
Mpaka nikakaa chini
Wao kuona hivyo wakadhani nimepigwa na guruneti wakaanza kulia Mastaaaaaaaa.
Nikaja kubebwa na difenda sijitambui, mpaka kituoni, kufika kituoni nikaonekana nilikamatwa na wavuta bangi ili wanivutishe ila mie kwa ule tu moshi wao nililewa nikazima.
Wakawekwa ndani mie nikatulia tu nje,
Nikawa sina dili tena, washkaji wote wapo ndani.
Hivyo vita dhidi ya serikali ikawa imeishia hapo.