Wewe ishawahi kukukuta?

Hii mimi ilikua yanitokea na baada ya kujiuliza nikagundua sababu ni tv
Kuna siku nilijikuta niko china napaa kwenye majengo yao yale. Kumbe nilikua naangalia move sasa nadhani ubongo na macho vimekosa maelewano usingizini
 
Kama chumbani mwako Kuna kioo au dressing table yenye kioo na kinaangaza wakati wote,viumbe kama hivyo huwepo!!

Kuna siku mama watoto aliwahi niona Mimi live napotelea kwenye kioo nikitokea dirishani nikiwa uchi !wakati huo huo nimelala kitandani aliniuliza nikamwambia hayo ni madudu yamechukua sura yangu!

Hadi leo nafunika kioo wakati was kulala!!
 
Wewe utakuwa ni mtu wa dini hile! Nyie kuishi na majini ni kawaida! Sasa unashangaa nini?
 
Mwaka 94 tumetoka disco ,tukakutana na Wana , kuna camera man,tukaomba tupige picha ,tulikuwa wanne,picha inatoka baada ya wiki mbili,kwenye picha Kuna mdada kavaa ijabu ,baibui na miwani ya jua alafu ni usiku kaongezeka na hakuwepo wakati tunapiga,ila Yuko pembeni yetu kidogo as if anaibia, Miujiza ipo ,Tena ni mingi kuliko mental cases
 

Hapana ila ishawahi Kuni Fensi.
 
Upo sahihi mm shangaz yangu alijiuwa kwa kujinyonga miaka hiyoo npo o level...so nkaenda kuona maiti..kipindi hichoo namiliki YASHCA CAMERA ZILE ZA MIKANDA....badaa ya mwezi kwenda kusafisha picha nakuta
picha ya shangaz yule alijiuwaa na sjawahi meet nae had sku amefariki...dunia ina mambo!!!
 
Sasa siungetuwekea hiyo picha hapa tukaiona? Unaandikia mate wakati wino hupo? Weee muongo!
 

Hizo pombe mnazokunywa muwe na kiasi.
 

Alikuwepo sema mlikuwa mmelewa na wenge la Disco.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…