Mke wa nani mkuu?sasa mmesema ni mkabila wakati inasemekana mkewe ni mkristo
Hoja dhaifu sana na ina kila dalili ya ugonjwa unaoitwa wivu wa kikeKwanza nimefurahi kujua kumbe nawe ni mwana JamiiForums Mwandamizi na mkubwa kabisa lakini pia kumbe ni Mtu ambaye unapenda sana Kufuatilia Mada (Threads) zangu hapa hasa za Kisiasa. Sitaki Kukutaja Jina ila nashukuru tu ya kwamba Mtu ambaye umemuuliza Asubuhi ya Leo kwamba kwani Mzukulu hakubali Dkt. Hussein Mwinyi awe Rais Zanzibar amenifikishia Salamu zako.
Haya sasa kwa Faida yako, wana CCM hapo Lumumba na kule Zanzibar hadi wale waliopo hapa JamiiForums hizi ndizo Sababu zangu kwanini simkubali ambazo naomba ziheshimiwe kwani ni zangu binafsi kutokana na ninavyomfahamu lakini pia kupitia kwa Vyanzo vyangu Muhimu na vya karibu nae ambao wanamjua na wamefanya nae Kazi.
1. Ni Mnafiki sana.
2. Ana Upole usio na tija Kiutendaji
3. Ni Muongo kitu ambacho ni Hatari kwa Ustawi wa Nchini (Kisiwa )
4. Mbinafsi kuliko Maelezo
5. Mdini mno na wala hajifichi
6. Si mtoa Ushirikiano mzuri katika mambo ya Kimsingi
7. Ni mtengeneza Makundi kila mahala ambapo huwa anakuwepo Kiutendaji
Mzukulu naendelea Kusisitiza CCM mkimpitisha Dkt. Hussein Mwinyi Jumapili huko Kikaoni Dodoma mtakuwa mmefanya Kosa Kubwa na mtakuja kunikumbuka na kuukumbuka huu Uzi wangu. Mkimpitisha Profesa Makame Mbarawa Mnyaa au Shamsi Vuai Nahodha mtakuwa mmefanya Maamuzi sahihi. Na atakayeshinda kati ya hawa Wawili basi Mmoja wao awe ndiyo Makamu wa Pili wa Rais huko Kisiwani Zanzibar.
Sina Chuki naye ila kwa upande wa Urais Dkt. Hussein Mwinyi hafai kabisa.
Nasikia kura zinarudiwa Kati ya Hussein mwinyi na makame mbarawa CCM imesikiliza ushauri wako mzukulu [emoji23]
Kwanza nimefurahi kujua kumbe nawe ni mwana JamiiForums Mwandamizi na mkubwa kabisa lakini pia kumbe ni Mtu ambaye unapenda sana Kufuatilia Mada (Threads) zangu hapa hasa za Kisiasa. Sitaki Kukutaja Jina ila nashukuru tu ya kwamba Mtu ambaye umemuuliza Asubuhi ya Leo kwamba kwani Mzukulu hakubali Dkt. Hussein Mwinyi awe Rais Zanzibar amenifikishia Salamu zako.

Je atamshinda seif sharifu hamad?
Ukweli ni kwamba Wapemba, wamjini magharib na wasomi almost wote wako pro Mwinyi. Kwa maana nyengine waliokuwa hawakufurahia chaguo la Mwinyi ni wa Unguja kaskazini na Kusini.Nilimsikia mpemba mmoja kijiweni ansema profesa hafa kabisa. Yeye na wenzake ni mwinyi anatosha. Nilkuwa sijui mwinyi alisomea marekani yeye ndie kanifumbua macho. NI MPEMBA KABISA NA SI MUUNGUJA. Hivyo kila mtu na upande wake tusubirie hatima ya jpili.
Huu ndo unafiki sasa,wa kiwango cha lamiAmeshinda Dkt. Hussein Mwinyi na nawapongeza mno na sana wana CCM kwa Maamuzi yao na ninamtakia Kila la Kheri katika Kuiongoza Zanzibar.