Wewe Kada Mwandamizi wa hapo CCM Ofisi Ndogo Lumumba uliyehoji kwanini simkubali Hussein Mwinyi haya ni Majibu yangu Kwako

Aliyepangwa na MUNGU thread haiwezi kumtenganisha....CCM itaendelea kutoa Marais Makini watakaoenzi Mapinduzi Matukufu Zanzibar na Muungano wetu.
 
Kwanza nimefurahi kujua kumbe nawe ni mwana JamiiForums Mwandamizi na mkubwa kabisa lakini pia kumbe ni Mtu ambaye unapenda sana Kufuatilia Mada (Threads) zangu hapa hasa za Kisiasa. Sitaki Kukutaja Jina ila nashukuru tu ya kwamba Mtu ambaye umemuuliza Asubuhi ya Leo kwamba kwani Mzukulu hakubali Dkt. Hussein Mwinyi awe Rais Zanzibar amenifikishia Salamu zako.

Haya sasa kwa Faida yako, wana CCM hapo Lumumba na kule Zanzibar hadi wale waliopo hapa JamiiForums hizi ndizo Sababu zangu kwanini simkubali ambazo naomba ziheshimiwe kwani ni zangu binafsi kutokana na ninavyomfahamu lakini pia kupitia kwa Vyanzo vyangu Muhimu na vya karibu nae ambao wanamjua na wamefanya nae Kazi.

1. Ni Mnafiki sana.
2. Ana Upole usio na tija Kiutendaji
3. Ni Muongo kitu ambacho ni Hatari kwa Ustawi wa Nchini (Kisiwa )
4. Mbinafsi kuliko Maelezo
5. Mdini mno na wala hajifichi
6. Si mtoa Ushirikiano mzuri katika mambo ya Kimsingi
7. Ni mtengeneza Makundi kila mahala ambapo huwa anakuwepo Kiutendaji

Mzukulu naendelea Kusisitiza CCM mkimpitisha Dkt. Hussein Mwinyi Jumapili huko Kikaoni Dodoma mtakuwa mmefanya Kosa Kubwa na mtakuja kunikumbuka na kuukumbuka huu Uzi wangu. Mkimpitisha Profesa Makame Mbarawa Mnyaa au Shamsi Vuai Nahodha mtakuwa mmefanya Maamuzi sahihi. Na atakayeshinda kati ya hawa Wawili basi Mmoja wao awe ndiyo Makamu wa Pili wa Rais huko Kisiwani Zanzibar.

Sina Chuki naye ila kwa upande wa Urais Dkt. Hussein Mwinyi hafai kabisa.
Hoja dhaifu sana na ina kila dalili ya ugonjwa unaoitwa wivu wa kike
 
Mbona hukuja na Maelezo haya yako ya Kipumbavu kabla na umengojea Maamuzi yametoka ndiyo unajifanya Kuwashwawashwa nami? Pumbavu!!
 
Nasikia kura zinarudiwa Kati ya Hussein mwinyi na makame mbarawa CCM imesikiliza ushauri wako mzukulu [emoji23]
 
Kwanza nimefurahi kujua kumbe nawe ni mwana JamiiForums Mwandamizi na mkubwa kabisa lakini pia kumbe ni Mtu ambaye unapenda sana Kufuatilia Mada (Threads) zangu hapa hasa za Kisiasa. Sitaki Kukutaja Jina ila nashukuru tu ya kwamba Mtu ambaye umemuuliza Asubuhi ya Leo kwamba kwani Mzukulu hakubali Dkt. Hussein Mwinyi awe Rais Zanzibar amenifikishia Salamu zako.

Haya sasa kwa Faida yako, wana CCM hapo Lumumba na kule Zanzibar hadi wale waliopo hapa JamiiForums hizi ndizo Sababu zangu kwanini simkubali ambazo naomba ziheshimiwe kwani ni zangu binafsi kutokana na ninavyomfahamu lakini pia kupitia kwa Vyanzo vyangu Muhimu na vya karibu nae ambao wanamjua na wamefanya nae Kazi.

1. Ni Mnafiki sana.
2. Ana Upole usio na tija Kiutendaji
3. Ni Muongo kitu ambacho ni Hatari kwa Ustawi wa Nchini (Kisiwa )
4. Mbinafsi kuliko Maelezo
5. Mdini mno na wala hajifichi
6. Si mtoa Ushirikiano mzuri katika mambo ya Kimsingi
7. Ni mtengeneza Makundi kila mahala ambapo huwa anakuwepo Kiutendaji

Mzukulu naendelea Kusisitiza CCM mkimpitisha Dkt. Hussein Mwinyi Jumapili huko Kikaoni Dodoma mtakuwa mmefanya Kosa Kubwa na mtakuja kunikumbuka na kuukumbuka huu Uzi wangu. Mkimpitisha Profesa Makame Mbarawa Mnyaa au Shamsi Vuai Nahodha mtakuwa mmefanya Maamuzi sahihi. Na atakayeshinda kati ya hawa Wawili basi Mmoja wao awe ndiyo Makamu wa Pili wa Rais huko Kisiwani Zanzibar.

Sina Chuki naye ila kwa upande wa Urais Dkt. Hussein Mwinyi hafai kabisa.

Mzukulu, sasa wamemptisha, unalo la nyongeza?
 
Wameupuuza ushauri wako kwa sababu ilishaandikwa katika kitabu cha CCM mstacri wa 2 hadi wa 5
 
Looh yaani huyo aitwaye kada hapo Lumumba ameexpress tu chuki yake kwa Dr.Mwinyi.....

KIUKWELI hayo your aliyoyasema yako kinyume na kila ANAYEMJUA NA ASIYEMCHUKIA.....

All and all he was just TARNISHING the political image ya HASIMU wao wa KISIASA......

Kila mtu na mtuwe baba...
Wa FURSA yake ndo hakuchaguliwa baba....

Atulie tupige kazi ya chama kwa FAIDA ya taifa letu pendwa....

Mpe Hai komredi wetu huyo hapo Lumumba!!!
 
Namkubali Mwinyi Junior kwakuwa ni mzanzibara hakuna hofu atasimamia na kuendeleza ukoloni wetu watu machogo wa bara huko Zenji na kumvunjavunja kila mzenji atakaeleta chokochoko za muungano, namkubali sana Mwinyi kwa vile kutawala baba na Mwana ni ukoloni na haifanyiki Bara tungemtoa mkuku, wabara hatutakagi ujinga sisi, namkubali as fellow Muslim, namkubali sana kwakuwa alijiandaa kwa urais atafanya vizuri!!! namkubali sababu he is the weakest Presidaa katika walioingia top five na huyo ndie haswa afaa kwa kulinda muungano
 
Nilimsikia mpemba mmoja kijiweni ansema profesa hafa kabisa. Yeye na wenzake ni mwinyi anatosha. Nilkuwa sijui mwinyi alisomea marekani yeye ndie kanifumbua macho. NI MPEMBA KABISA NA SI MUUNGUJA. Hivyo kila mtu na upande wake tusubirie hatima ya jpili.
Ukweli ni kwamba Wapemba, wamjini magharib na wasomi almost wote wako pro Mwinyi. Kwa maana nyengine waliokuwa hawakufurahia chaguo la Mwinyi ni wa Unguja kaskazini na Kusini.
 
Ameshinda Dkt. Hussein Mwinyi na nawapongeza mno na sana wana CCM kwa Maamuzi yao na ninamtakia Kila la Kheri katika Kuiongoza Zanzibar.
Huu ndo unafiki sasa,wa kiwango cha lami
 
Haya basi tena, moshi mweupe ulishatoka baada ya demokrasia kuchukua mkondo ndani ya Mkutano Mkuu wa CCM. Wapeperusha bendera kwa nafasi za uraisi kwa upande wa Tanzania Bara na Visiwani wamekwisha kupatikana.

Mleta hoja, tunakushuru kwa uzi huu. Ila ukweli ni kwamba, kwa sasa yale makundi yote yaliyokuwa yakifungamana na wagombea wao waliokuwa wakiwapigia debe, hasa kwa upande wa Zanzibar yanapaswa kutoweka na kubaki na kundi moja tu, nalo ni Team - CCM tu. Tunatambua kulikuwa na 'speculations' nyingi mno kupitia matamanio binafsi juu wagombea fulani, na ktk siasa hili ni jambo la kawaida sana na wala halina mgogoro wowote ule.

Kwa hiyo basi, rai yangu ni kuwa tumeshamalizana na CCM, kilichobakia ni "speculations" zetu na macho yetu kwa sasa ni kuyaelekeza kwa CDM na ACT Wazalendo, ambapo michakato yao ya kutafuta wapeperusha bendera wenye kwenda kukabiliana na hawa wateule wa CCM bado ingali bado inaendelea.

Kila la heri Team - CCM.
 
Back
Top Bottom