Marahaba sakayo wangu hujamboShkamoo
baada ya kugegedewa na kutokupewa hela ndio unakuja kulalamika huku eheeKuna mkaka wa humu,alianza kama utani huko Pm,kama kawaida yao kwa kuomba namba ya WhatsApp walivyo fasta,akaniomba nikampa
Tumezidi kuwasiliana,na kuanza kuzoeana ingawa yeye yupo Dar ,na Mimi nikiwa Mwanza
Alianza kama marafiki,tukawa tunapiga stories za maisha hapa na pale,bila kuniambia kuwa ananihitaji kimapenzi
Sasa juzi kanitumia nauli nije huku Dar tukutane na kufahamiana zaidi,basi nikamwambia hamna shida
Nikaanza safari,kufika Dodoma ndo akaanza kuingiza stories za kulala pamoja,nikamwambia for first time haitawezekana,nitakuja huko tutaonana,basi siku nyingine nikija ndo tutafanya hivyo,akakubali
Nikafika hapa Dar,akanipokea fresh,akanipeleka hotel tukapata chakula,,ila akawa ananiomba tulale pamoja nikakataa,akalazimisha nikahisi nisipoweka kigingi kizito hapa naweza kuingia online bila matarajio
Basi nikamwambia,kesho yaani nipo tayari kwa hilo unalotaka ila sharti la kwanza tukapime magonjwa ya ngono,akakataa,nikamwambia basi nikachukulie chumba nikalale akaniuliza ila tutalala pamoja,nikamwambia wewe kachukue tutaongea huko chumbani,wakati ananyenyuka nikaita Tax nikasepa na kuzima sim
Haraka zenu muda mwingine mtakuwa mnaambulia zero,na kwa nini hutaki kupima zinaa kwanza,wengine tuna allergy na kondom,I'm sorry jamani,nipo nakata tiketi kwa ajili ya safari ya kesho
Hakika wewe ni kiboko! Uamuzi wa maana huo!Kuna mkaka wa humu,alianza kama utani huko Pm,kama kawaida yao kwa kuomba namba ya WhatsApp walivyo fasta,akaniomba nikampa
Tumezidi kuwasiliana,na kuanza kuzoeana ingawa yeye yupo Dar ,na Mimi nikiwa Mwanza
Alianza kama marafiki,tukawa tunapiga stories za maisha hapa na pale,bila kuniambia kuwa ananihitaji kimapenzi
Sasa juzi kanitumia nauli nije huku Dar tukutane na kufahamiana zaidi,basi nikamwambia hamna shida
Nikaanza safari,kufika Dodoma ndo akaanza kuingiza stories za kulala pamoja,nikamwambia for first time haitawezekana,nitakuja huko tutaonana,basi siku nyingine nikija ndo tutafanya hivyo,akakubali
Nikafika hapa Dar,akanipokea fresh,akanipeleka hotel tukapata chakula,,ila akawa ananiomba tulale pamoja nikakataa,akalazimisha nikahisi nisipoweka kigingi kizito hapa naweza kuingia online bila matarajio
Basi nikamwambia,kesho yaani nipo tayari kwa hilo unalotaka ila sharti la kwanza tukapime magonjwa ya ngono,akakataa,nikamwambia basi nikachukulie chumba nikalale akaniuliza ila tutalala pamoja,nikamwambia wewe kachukue tutaongea huko chumbani,wakati ananyenyuka nikaita Tax nikasepa na kuzima sim
Haraka zenu muda mwingine mtakuwa mnaambulia zero,na kwa nini hutaki kupima zinaa kwanza,wengine tuna allergy na kondom,I'm sorry jamani,nipo nakata tiketi kwa ajili ya safari ya kesho
Ulipowasha simu ikawaje?Kuna mkaka wa humu,alianza kama utani huko Pm,kama kawaida yao kwa kuomba namba ya WhatsApp walivyo fasta,akaniomba nikampa
Tumezidi kuwasiliana,na kuanza kuzoeana ingawa yeye yupo Dar ,na Mimi nikiwa Mwanza
Alianza kama marafiki,tukawa tunapiga stories za maisha hapa na pale,bila kuniambia kuwa ananihitaji kimapenzi
Sasa juzi kanitumia nauli nije huku Dar tukutane na kufahamiana zaidi,basi nikamwambia hamna shida
Nikaanza safari,kufika Dodoma ndo akaanza kuingiza stories za kulala pamoja,nikamwambia for first time haitawezekana,nitakuja huko tutaonana,basi siku nyingine nikija ndo tutafanya hivyo,akakubali
Nikafika hapa Dar,akanipokea fresh,akanipeleka hotel tukapata chakula,,ila akawa ananiomba tulale pamoja nikakataa,akalazimisha nikahisi nisipoweka kigingi kizito hapa naweza kuingia online bila matarajio
Basi nikamwambia,kesho yaani nipo tayari kwa hilo unalotaka ila sharti la kwanza tukapime magonjwa ya ngono,akakataa,nikamwambia basi nikachukulie chumba nikalale akaniuliza ila tutalala pamoja,nikamwambia wewe kachukue tutaongea huko chumbani,wakati ananyenyuka nikaita Tax nikasepa na kuzima sim
Haraka zenu muda mwingine mtakuwa mnaambulia zero,na kwa nini hutaki kupima zinaa kwanza,wengine tuna allergy na kondom,I'm sorry jamani,nipo nakata tiketi kwa ajili ya safari ya kesho
Telemundo za hapa jamii forum ni shidaUlipowasha simu ikawaje?
Hapo ni mali kituItategemea jinsi itakavyokuwa
Yafuatayo yanaweza yakawa majibu,utoto,ulimbukeni,kujionesha kwamba naye kuna mtu kampenda.Jamani ya huko pm yaishiage huko.Nimejikuta namuonea huruma huyo kaka(sio Kwa kukimbiwa Bali Kwa kuanikwa).Hivi haya mambo kwa nn yasiishie ukouko pm mpaka mje kuweka na thread
HapanaMarahaba sakayo wangu hujambo
Kuna mkaka wa humu,alianza kama utani huko Pm,kama kawaida yao kwa kuomba namba ya WhatsApp walivyo fasta,akaniomba nikampa
Tumezidi kuwasiliana,na kuanza kuzoeana ingawa yeye yupo Dar ,na Mimi nikiwa Mwanza
Alianza kama marafiki,tukawa tunapiga stories za maisha hapa na pale,bila kuniambia kuwa ananihitaji kimapenzi
Sasa juzi kanitumia nauli nije huku Dar tukutane na kufahamiana zaidi,basi nikamwambia hamna shida
Nikaanza safari,kufika Dodoma ndo akaanza kuingiza stories za kulala pamoja,nikamwambia for first time haitawezekana,nitakuja huko tutaonana,basi siku nyingine nikija ndo tutafanya hivyo,akakubali
Nikafika hapa Dar,akanipokea fresh,akanipeleka hotel tukapata chakula,,ila akawa ananiomba tulale pamoja nikakataa,akalazimisha nikahisi nisipoweka kigingi kizito hapa naweza kuingia online bila matarajio
Basi nikamwambia,kesho yaani nipo tayari kwa hilo unalotaka ila sharti la kwanza tukapime magonjwa ya ngono,akakataa,nikamwambia basi nikachukulie chumba nikalale akaniuliza ila tutalala pamoja,nikamwambia wewe kachukue tutaongea huko chumbani,wakati ananyenyuka nikaita Tax nikasepa na kuzima sim
Haraka zenu muda mwingine mtakuwa mnaambulia zero,na kwa nini hutaki kupima zinaa kwanza,wengine tuna allergy na kondom,I'm sorry jamani,nipo nakata tiketi kwa ajili ya safari ya kesho
Kuna mkaka wa humu,alianza kama utani huko Pm,kama kawaida yao kwa kuomba namba ya WhatsApp walivyo fasta,akaniomba nikampa
Tumezidi kuwasiliana,na kuanza kuzoeana ingawa yeye yupo Dar ,na Mimi nikiwa Mwanza
Alianza kama marafiki,tukawa tunapiga stories za maisha hapa na pale,bila kuniambia kuwa ananihitaji kimapenzi
Sasa juzi kanitumia nauli nije huku Dar tukutane na kufahamiana zaidi,basi nikamwambia hamna shida
Nikaanza safari,kufika Dodoma ndo akaanza kuingiza stories za kulala pamoja,nikamwambia for first time haitawezekana,nitakuja huko tutaonana,basi siku nyingine nikija ndo tutafanya hivyo,akakubali
Nikafika hapa Dar,akanipokea fresh,akanipeleka hotel tukapata chakula,,ila akawa ananiomba tulale pamoja nikakataa,akalazimisha nikahisi nisipoweka kigingi kizito hapa naweza kuingia online bila matarajio
Basi nikamwambia,kesho yaani nipo tayari kwa hilo unalotaka ila sharti la kwanza tukapime magonjwa ya ngono,akakataa,nikamwambia basi nikachukulie chumba nikalale akaniuliza ila tutalala pamoja,nikamwambia wewe kachukue tutaongea huko chumbani,wakati ananyenyuka nikaita Tax nikasepa na kuzima sim
Haraka zenu muda mwingine mtakuwa mnaambulia zero,na kwa nini hutaki kupima zinaa kwanza,wengine tuna allergy na kondom,I'm sorry jamani,nipo nakata tiketi kwa ajili ya safari ya kesho
Haha, itatumika tuu, hivi unakujaje huku mashambani nikuache uende kizembe[emoji16]Ha haaa ni kweli. Ikibidi WhatsApp itumike itatumika
Utatakiwa uheshimu makubaliano la sivyo utafanyiwa Kama huyo mjamaaHaha, itatumika tuu, hivi unakujaje huku mashambani nikuache uende kizembe[emoji16]
Ninachoamini na kujipa moyo ni kwamba sitaanikwa, sitasemwa huku, tutayamaliza kuitu uzima. Hiyo ndio furaha ya ku-date mwanamke kama wewe...Utatakiwa uheshimu makubaliano la sivyo utafanyiwa Kama huyo mjamaa
[emoji2][emoji2] hapana mkuuHapo ni mali kitu
Mpaka sasa tumejua ya upande wa mtoa mada bado ya aliepo ndani ya mada husika ila uyu dada kakimbia mechi laivu[emoji16][emoji16][emoji16] mambo ya binadam hayo