ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Alafu kesho watu wakianza kupost picha zenu mnakimbia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23] ya kutolea itoe kwenye ya kurudia then ukifika utapewa yakurudiaHaina tatizo, we tuma nauli ya kuja na ya kurudi...usisahau na ya kutolea
https://www.jamiiforums.com/threads...-sms-zangu-lakini-hatujawahi-kuonana.1610643/Hivi haya mambo kwa nn yasiishie ukouko pm mpaka mje kuweka na thread
[emoji38][emoji38] wanapoteana hum jumlaAlafu kesho watu wakianza kupost picha zenu mnakimbia.
[emoji23][emoji23][emoji23]tuanze kwanza kuchat wasap!!Haina tatizo, we tuma nauli ya kuja na ya kurudi...usisahau na ya kutolea
nishaghairi maana ushaanza muiga dada ako naweweNikiss tu mzee wa mafurushi
ShkamooHivi humu ndani kumbe kuna watu huwa mnapata nafasi mnaona dah watu anonymous how can you trust each other...what if unaweka appointment na dada yako mama yako nk humu kuna watu wengi sana tofauti tofauti
😂😂😂😂 Amejaa gesiTulia mama, tatizo umejaa gesi bila hata kunielewa! Kwenye comment yako umesema "wanaume wanadhani ukishaenda kwake ndio umeshamkubalia"
Sasa mimi kukuuliza hivyo niliimanisha unapokuja kwangu ni obvious unakuwa umeshakubali kuwa na mimi na kinachokuleta ni banjuana tu wala sio kushangaa shangaa au stori tena.
Wahenga hatutumii WhatsApp, pm inatosha [emoji2][emoji2]. Mbinu za kijasusi[emoji23][emoji23][emoji23]tuanze kwanza kuchat wasap!!
Mweh unaweza fika huko usipewe ya kurudi ikabidi uchanje mbuga kwa miguu, tumalizane kabisaaaa[emoji23][emoji23][emoji23] ya kutolea itoe kwenye ya kurudia then ukifika utapewa yakurudia
Wasap muhimu mhenga, ili tufanye tathmini kabisa ujuwe!!Wahenga hatutumii WhatsApp, pm inatosha [emoji2][emoji2]. Mbinu za kijasusi
[emoji16][emoji16]huko ndio kujiongeza sasa nimekuelewa, lakini asipokupa si mnaunganisha undugu maisha yanaendelea full minogeshoMweh unaweza fika huko usipewe ya kurudi ikabidi uchanje mbuga kwa miguu, tumalizane kabisaaaa
Itategemea jinsi itakavyokuwa[emoji16][emoji16]huko ndio kujiongeza sasa nimekuelewa, lakini asipokupa si mnaunganisha undugu maisha yanaendelea full minogesho
Ha haaa ni kweli. Ikibidi WhatsApp itumike itatumikaWasap muhimu mhenga, ili tufanye tathmini kabisa ujuwe!!
Aisee hivi watu wa aina hii wapo, mi ngekulipia chumba ungelala, usiku ningekuomba twende nikakuonyeshe jiji mitaa ya Masaki, ningekupiga savvana kadhaa zile huwa zinaenda chiini mpja kwa moja najua ungelowa. Mida ya saa nane ningekurudisha hotel na ningekudinya bila hata kukuomba idiot wewe.Kuna mkaka wa humu,alianza kama utani huko Pm,kama kawaida yao kwa kuomba namba ya WhatsApp walivyo fasta,akaniomba nikampa
Tumezidi kuwasiliana,na kuanza kuzoeana ingawa yeye yupo Dar ,na Mimi nikiwa Mwanza
Alianza kama marafiki,tukawa tunapiga stories za maisha hapa na pale,bila kuniambia kuwa ananihitaji kimapenzi
Sasa juzi kanitumia nauli nije huku Dar tukutane na kufahamiana zaidi,basi nikamwambia hamna shida
Nikaanza safari,kufika Dodoma ndo akaanza kuingiza stories za kulala pamoja,nikamwambia for first time haitawezekana,nitakuja huko tutaonana,basi siku nyingine nikija ndo tutafanya hivyo,akakubali
Nikafika hapa Dar,akanipokea fresh,akanipeleka hotel tukapata chakula,,ila akawa ananiomba tulale pamoja nikakataa,akalazimisha nikahisi nisipoweka kigingi kizito hapa naweza kuingia online bila matarajio
Basi nikamwambia,kesho yaani nipo tayari kwa hilo unalotaka ila sharti la kwanza tukapime magonjwa ya ngono,akakataa,nikamwambia basi nikachukulie chumba nikalale akaniuliza ila tutalala pamoja,nikamwambia wewe kachukue tutaongea huko chumbani,wakati ananyenyuka nikaita Tax nikasepa na kuzima sim
Haraka zenu muda mwingine mtakuwa mnaambulia zero,na kwa nini hutaki kupima zinaa kwanza,wengine tuna allergy na kondom,I'm sorry jamani,nipo nakata tiketi kwa ajili ya safari ya kesho