Wewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka

Huna kazi ya kufanya yqwni unatoka mwanza kuja kuonana na mtu kama huyo au upo desperate sana na ndoa au ni nini?so mngepima ungempa dah wanaume tuna kazi sana wanawake wa sasa wako very cheap
 
Kama story ni ya kweli basi ulishamalizana nae saa nyingi kabisa ila hutaki kusema,kingine hivi kweli unakutana na mtu anakuomba namba za whatsap kupitia Jf hamjuani hata sura na hata majina unamkubalia,mnachat weeeeeeeeeee mwisho anakuita Dar es salaam unafunga safari ndefu,kha we dada ulikuwa unafata aise kama isyo
 
Mwenyewe wewe ni fukara tu huna lolote mwenyewe vyote ulivyosema niwewe na badala ya changu jiweke shoga basi tumemaliza .
Demiss sijui katoto kazuri sijui hujui tuache fanya yao.
 

Nataka Kuunganisha Dots Kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…