Wewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka

Nifurahie ongezeko lao kwani watanioa wote?? Sifurahii maana mwanamke siko peke yangu duniani wapo wanawake wanataka wanaume wenye libido na wapo wanawake hawataki wanaume wenye libido ila mimi nipo kwenye hilo kundi la pili!!
ndio maana basi, naona unafurahia ungezeko la wanaume wa Kino
 
Tunadisappoint watu?? Yaani wanaume kupiga na kusepa mnaona raha na mnadhani wanawake hawaumii ila wanawake kuwatapeli nauli zenu ninyi ndiyo mnaumia siyo??
Hicho ndiyo ulichoweza kusema
Ila huwa mna disappoint watu sana
Na wenye roho mbaya huishia kuwafanyia ukatili tu
 
Mnapata raha wote? Mbona sasa mnawadharau wanawake waliotembea na wanaume wengi?
hapa tunapata RAHA wote ( wote tuna gain )





hapa mwanaume ndio ana lose, mwanamke ana gain
 
Daaaah!! Mara paah mnapima halafu jamaa hana halafu ww umeukwaa [emoji16][emoji16][emoji16] cjui zile hamu zitaishia wapi kwa jamaa...kwanza atakuambia mm sikujui halafu ukome kunisumbua kwenye simu halafu anamaliza kwa kusema MALAYA MKUBWA WEWE, muuaji kabisaaa!! Mdada mzuri lakini muuaji poooh!! ( katema mate chini)
 
Bwana weee Wewe ulikuwa sitaki nataka,ulitaka akupige ngwara, ndo uvue chupi najua nyege lazima ulikuwa nazo tayari
Wa dar hawayajui hayo mapenzi ya kizamani sana. Dar Ni ubakaji miaka30 jela.
 
Tunadisappoint watu?? Yaani wanaume kupiga na kusepa mnaona raha na mnadhani wanawake hawaumii ila wanawake kuwatapeli nauli zenu ninyi ndiyo mnaumia siyo??
Maumivu hayawezi kuwepo kama haujabakwa
Kama umekubali nini kinachokuumiza sasa?

Na kama hautaki kwanini ule vya watu?
 
Maumivu hayawezi kuwepo kama haujabakwa
Kama umekubali nini kinachokuumiza sasa?

Na kama hautaki kwanini ule vya watu?
Hamjui tu jinsi gani wanawake hawapendi mnavyowadharau hivyo endeleeni kuwadharau na msilalamike kwa yatakayowakuta
 
cutelove,
Sema tu jamaa nae mgeni wa hayo mambo..... mbona mjanja angekukula siku hiyohiyo..... Hivi niambie kwa ufasaha kabisa ni mchongo gani uliokutoa mwanza kuja Dar labda mi sijaelewa. Mali ya mahusiano kiurafiki kulikuwa labda na dili la biashara mnakuja kufanya?
 
Kumbe huyu manzi alitafunwa akapewa sh 7800 (elf saba mia nane) ya matumizi.

Tema anataka kupewa mikoba ya uganga[emoji23][emoji23][emoji23]..

Big up baharia kwa kutuwakilisha vizuri[emoji122]
 
Ana lolote.....Kashatafunwa...makuna mtu anaweza tuma nauli siku hizi.....Toka Tabata to Buguruni Sikutumii
Vipi kama ungeliwa kiboga mama ungeleta mrejesho hapa?
Hivi bado kuna mtu anatuma nauli kwa demu ambae hata hamjawahi kuonana!!? Kweli huyo jamaa ni bwege tu ndo maana ukamuacha kirahisi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…