Wewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka

Wewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka

cutelove, Yani wewe dada kwenye yako si ulisema uko Ghana na unaishi Ghana uko ndo makazi yako yaliko sasa imekuajebghafla umeahamia Mwanza au visa imeisha nini asee duuh kweli nimeamini JF NI konyo hasa hawa madada wa Jf yani mtu yuko kumbe mwanza alafu akanambi Mimi nitume nauli ya kumto Acra Ghana wazee mimi niliingia mitini asee ila wewe mdada nimekuupleciate wewe ni noma mno
 
Umenikumbusha chuo kuna jamaa alimnunulia simu demu Alafu akamwambia njoo geto.Bila makubaliano jamaa akang'ang'ania mechi.Binti akatoka nduki.
 
Sema wewe ndiyo unahoji uhalali wa kauli nina uhakika haujasoma na hauwezi kusoma comments zote za wanaume wenzio kwenye huu uzi tuulize sisi tulioanza na huu uzi tangu mwanzo kuna wanaume wenzio wamekuja juu na hoja za kipumbavu na mapovu juu
Huu uzi niliuanza ukiwa mbichi. Sema labda sijasoma comment zote. Waliotoa mapovu naweza kusema in washamba kwani hakuna kitu cha ajabu hapo
 
cutelove, ]nikamwambia basi nikachukulie chumba nikalale akaniuliza ila tutalala pamoja,nikamwambia wewe kachukue tutaongea huko chumbani,wakati ananyenyuka nikaita Tax nikasepa na kuzima sim

Haraka zenu muda mwingine mtakuwa mnaambulia zero,na kwa nini hutaki kupima zinaa kwanza,wengine tuna allergy na kondom,I'm sorry jamani,nipo nakata tiketi kwa ajili ya safari ya kesho
 
aise, naona hata kuandika hajui halafu anajikweza hakuna mwanaume wa humu mwenye hadhi nae? demu halina shule kuandika halijui kazi kuuza K unabishana nalo la nini fanya kuipotezea mkuu.

Mademu wengi wa humu ni vichaa, malaya wamezalishwa hovyo stress zao wanakuja kumalizia kwa watu ambao wanawapa positive advices.

Narudia tena hakuna mwanamke wa humu atakataa iwapo utamtongoza na ukawa serious.
Soma comments zangu kwa huyu katoto kazuri kanakokaa Arusha, kanajitanabaisha kuwa ni kanafunzi. Huwa kila siku nakaeleza kaache umalaya! Kwa bahati nzuri mimi ukinitukana nafurahia maana najua ujumbe umekufikia. Naamini kuwa tusi si tusi hadi anayetukanwa ajione ameambiwa ukweli! Mfano unaniita mjinga wakati mwenyewe najua si mjinga hiyo hainisumbui.

Hapa JF kazi yangu ni kuwapa watu ukweli wao. Napingana na utoto, umalaya na kutokuwa mzalendo kwa taifa lako regardless nani ni Rais! @demss nilimweleza ukweli akang’aka lakini ni hulka yao. Changudoa yeyote matusi yapo kwenye tip ya ulimi wake. After all unadhani wengi wanaupenda uchangu? La hasha ni matatizo tu ndo yanawafanya hivyo. Matatizo hayo ni pamoja na ufukara, kupenda vya dezo, kutafuta mtu wa kumuoa kwa nguvu, washawasha katika K, tamaa ya madushe etc.
 
Nyie wasichana wa Mwanza akina NAKWEDE muache umalaya. Hivi unaanzaje kukubali kutumiwa nauli? Je, unategemea anakutumia nauli ili uje ukwangue sato wake? Au uje kumlimia shamba? Hujui hakuna urafiki kati ya mwanaume na mwanamke zaidi ya K? Hivi hujioni kuwa katika hali ngumu ya fedha mtu hawezi kutuma nauli ati uje ukaliwe na wanaume wengine? acheni umalaya kama wa Demiss, katoto kazuri na wengine? Huu uzi umekudowngrade sana
Mb.wa wewe ukome kunitagi tagi kwenye upuuzi wako.
 
Inaoneka huko Mwanza unaliwa sana na wana, kama umeweza kutoka mwz to dar na humjui mtu, sipati picha kwa majirani hapo mtaani wanavo jishindia
 
Yani wewe dada kwenye yako si ulisema uko Ghana na unaishi Ghana uko ndo makazi yako yaliko sasa imekuajebghafla umeahamia Mwanza au visa imeisha nini asee duuh kweli nimeamini JF NI konyo hasa hawa madada wa Jf yani mtu yuko kumbe mwanza alafu akanambi Mimi nitume nauli ya kumto Acra Ghana wazee mimi niliingia mitini asee ila wewe mdada nimekuupleciate wewe ni noma mno
[emoji23][emoji23] ungechezwa kama mpira una bahati huu uzi umekushtua ungekua next
 
Kuna mkaka wa humu,alianza kama utani huko Pm,kama kawaida yao kwa kuomba namba ya WhatsApp walivyo fasta,akaniomba nikampa

Tumezidi kuwasiliana,na kuanza kuzoeana ingawa yeye yupo Dar ,na Mimi nikiwa Mwanza

Alianza kama marafiki,tukawa tunapiga stories za maisha hapa na pale,bila kuniambia kuwa ananihitaji kimapenzi

Sasa juzi kanitumia nauli nije huku Dar tukutane na kufahamiana zaidi,basi nikamwambia hamna shida

Nikaanza safari,kufika Dodoma ndo akaanza kuingiza stories za kulala pamoja,nikamwambia for first time haitawezekana,nitakuja huko tutaonana,basi siku nyingine nikija ndo tutafanya hivyo,akakubali

Nikafika hapa Dar,akanipokea fresh,akanipeleka hotel tukapata chakula,,ila akawa ananiomba tulale pamoja nikakataa,akalazimisha nikahisi nisipoweka kigingi kizito hapa naweza kuingia online bila matarajio

Basi nikamwambia,kesho yaani nipo tayari kwa hilo unalotaka ila sharti la kwanza tukapime magonjwa ya ngono,akakataa,nikamwambia basi nikachukulie chumba nikalale akaniuliza ila tutalala pamoja,nikamwambia wewe kachukue tutaongea huko chumbani,wakati ananyenyuka nikaita Tax nikasepa na kuzima sim

Haraka zenu muda mwingine mtakuwa mnaambulia zero,na kwa nini hutaki kupima zinaa kwanza,wengine tuna allergy na kondom,I'm sorry jamani,nipo nakata tiketi kwa ajili ya safari ya kesho
Yaani hata ile akili ndogo ya utotoni ya kuambiwa "njoo hapa" na ukajua tu lazima unaenda kuchapwa na unaanza kukimbia ilikushinda....! All the way from Mwanza to Dar ulidhani unaenda tu ku-prove sura ya unayewasiliana naye? Najaribu tu kujiuliza ungeenda ukafanyizwa hivyo kwa lazima utaweza kujieleza kuwa umebakwa?

Binafsi naona fursa inayotokana na ujinga wa wanaume wenzangu kama hawa ....! Kumbe naweza kujifanya mwanamke na nikatumiwa nauli ya kwenda huko aliko ili tu tukaonane, nauli hiyo ikitumwa inakuwa kipato kwangu...
 
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Yani wewe dada kwenye yako si ulisema uko Ghana na unaishi Ghana uko ndo makazi yako yaliko sasa imekuajebghafla umeahamia Mwanza au visa imeisha nini asee duuh kweli nimeamini JF NI konyo hasa hawa madada wa Jf yani mtu yuko kumbe mwanza alafu akanambi Mimi nitume nauli ya kumto Acra Ghana wazee mimi niliingia mitini asee ila wewe mdada nimekuupleciate wewe ni noma mno
 
Back
Top Bottom