C_O
Member
- Jan 3, 2019
- 54
- 33
Amazon najua ni shirika ambalo haliitaji utangulizi mulio wengi mnalifahamu pia na shughuli zake...
Muanzilishi wake pia kwa sasa haitaji utangulizi labda kwa watu ambao hawamfaham anaitwa jeff bezos na ndio tajiri wakawanza duniani kwa utajiri wa zaidi ya dollar 130 bilioni..
Nirudi kweny point, Amazon kwasas inakadiliwa kuwa na valuation/thamani ya zaidi ya dollar trilioni 1 na pia kwa mwanzo wakati imeanzishwa 1994 iliichukuwa miaka mitano kufikia valuation ya $30 billion lakin ukiangalia kweny annual report yake inaonesha since imeanza kwa mwaka jana tu ndo imepata net income ya zaidi ya $10 bilioni ikifuatiwa na 2017 net income ilpata zaid $3billion pia 2016 ilkwa ni around %500million
Ukiangalia vzur ni kama zaid ya miaka 20 leo ii toka iianze but after those many years now ndo inakuja kumake descent profit
Na ukiconcider entrepreneurs weng wakianza biashara wanataka wapate faida mwaka huo huo ambao wameanza sasa wewe kama entrepreneur unajifunza nn kutoka kwa jeff/amazon