Wewe kama entrepreneur unajifunza nini kutoka kwenye shirika la Amazon??

Wewe kama entrepreneur unajifunza nini kutoka kwenye shirika la Amazon??

C_O

Member
Joined
Jan 3, 2019
Posts
54
Reaction score
33
Amazon najua ni shirika ambalo haliitaji utangulizi mulio wengi mnalifahamu pia na shughuli zake...

Muanzilishi wake pia kwa sasa haitaji utangulizi labda kwa watu ambao hawamfaham anaitwa jeff bezos na ndio tajiri wakawanza duniani kwa utajiri wa zaidi ya dollar 130 bilioni..

Nirudi kweny point, Amazon kwasas inakadiliwa kuwa na valuation/thamani ya zaidi ya dollar trilioni 1 na pia kwa mwanzo wakati imeanzishwa 1994 iliichukuwa miaka mitano kufikia valuation ya $30 billion lakin ukiangalia kweny annual report yake inaonesha since imeanza kwa mwaka jana tu ndo imepata net income ya zaidi ya $10 bilioni ikifuatiwa na 2017 net income ilpata zaid $3billion pia 2016 ilkwa ni around %500million

Ukiangalia vzur ni kama zaid ya miaka 20 leo ii toka iianze but after those many years now ndo inakuja kumake descent profit

Na ukiconcider entrepreneurs weng wakianza biashara wanataka wapate faida mwaka huo huo ambao wameanza sasa wewe kama entrepreneur unajifunza nn kutoka kwa jeff/amazon
 
Kibiashara???
Deep in businesses, kwa Jeff na hususani wafanya biashara wote wakubwa waliofanikiwa na makampuni yaliyofanikiwa najifunza kitu kimoja common kwamba idea yako iwaguse watu wengi tu hapo tiyari ushapenya kwenye maisha.

Ukingalia Amazon, Google, Facebook, IG nk zote zimewagusa watu wengi na ngumu ku-escape kuyumia bidhaa au huduma zao hii inawapa mafanikio makubwa sana.

Ndio maana siku zote mimi naumiza kichwa nipate wazo litaowagusa watu wengi tu.

Hicho ndio nilichokinyaka kwa Jeff mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
iwaguse watu wengi tu hapo tiyari ushapenya kwenye maisha.

Ukingalia Amazon, Google, Facebook, IG nk zote zimewagusa watu wengi na ngumu ku-escape kuyumia bidhaa au huduma zao hii inawapa mafanikio makubwa sana.

Ndio maana siku zote mimi naumiza kichwa nipate wazo litaowagusa watu wengi tu.
Ahsante kwa mchango wako, Nimejifunza kitu hapa.
 
Nilichogundua katika huu ulimwengu wa smart phone,wataalamu wa IT & computer science walioiva vizuri wanaweza kutajirika haraka zaidi kama watatengeneza software au website/webpage zitakazogusa mahitaji ya jamii
 
nimejifunza mengi ila ikubwa nisimwige mtu pasipokujua mengi yamuhusuyo, maana wengine mitaji ni ya familia sasa wewee mtaji wako wa kuunga unga utaishia njiani kabla ya hata kurudisha gharama za uwekezaji,
 
Nimejifunza kuwa information is money and being social is wealth, yaani kitendo cha amazon kufanya vitabu na bidhaa zingine ziwe mtandaoni badala ya madukani imemfanya azidi kuwa tajiri maana analipwa fee kila kitu kinapoazimwa, kusikilizwa, kusomwa au kununuliwa.
 
Back
Top Bottom