Wewe kama kaka uta-respond vp?

Kama mdogo wako wa kike au dada yako anaweza kuyaongea hayo na wewe ukiwa karibu, basi wewe ndio tatizo!
 
Mpaka sister anafikia kusema hivyo mbele yako tafsiri yake nidhamu yenu kifamilia ina mmomonyoko mkubwa.
Wengine tulizaliwa wakiume 1to4,God katubless kadada kamoja last born.
Anatuheshimu kaka zake pengine kuliko hata bi mkubwa.
 
🤣🤣🤣🤣🤣watu wa meme ovyo sana😂😂😂

Unaweza kuchek mpaka ukajamba mbele za watu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mpaka sister anafikia kusema hivyo mbele yako tafsiri yake nidhamu yenu kifamilia ina mmomonyoko mkubwa.
Wengine tulizaliwa wakiume 1to4,God katubless kadada kamoja last born.
Anatuheshimu kaka zake pengine kuliko hata bi mkubwa.
Umenena vyema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…