Fene
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 2,824
- 4,447
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenye dada hakosi shemeji
Je akikuuliza, kwani nimefanya nini baya?"ukiwa unaongea na simu uwe na adabu tumeelewana?"
Nitamuuliza.
Duh...kuwa kaka shida sana
Umenena vyemaMpaka sister anafikia kusema hivyo mbele yako tafsiri yake nidhamu yenu kifamilia ina mmomonyoko mkubwa.
Wengine tulizaliwa wakiume 1to4,God katubless kadada kamoja last born.
Anatuheshimu kaka zake pengine kuliko hata bi mkubwa.
Kama mdogo wako wa kike au dada yako anaweza kuyaongea hayo na wewe ukiwa karibu, basi wewe ndio tatizo!