Wewe kama mzazi utathubutu kuwaacha watoto wako nyumbani wenyewe?

Tia bakora usimnyime mtoto mapigo,mtoto wangu ana mwaka na nusu chakula kimeandaliwa akaenda kunya kwenye sinia alichezea mikwaju akili imemkaa sawa..sasa hivi ata akiona nzi kwenye chakula anawafukuza.
Watoto wanajua wanachokifanya ila wanafanya kusudi kuwapima wazazi wao.
 
Ndio maana wakaitwa watoto!
Watoto wanahitaji uangalizi muda wote.
Watoto hawawezi kujiongoza/kujiangalia wenyewe hata kama wamepishana umri. Ukichomoka kidogo lazima utakuta kesi tuu, hapo ndani. 😁
 
Wanatest patience sana! Lol nimecheka kwa sauti🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…