😀 Mtoto wa kiafrica anabalaa sanaTia bakora usimnyime mtoto mapigo,mtoto wangu ana mwaka na nusu chakula kimeandaliwa akaenda kunya kwenye sinia alichezea mikwaju akili imemkaa sawa..sasa hivi ata akiona nzi kwenye chakula anawafukuza.
Watoto wanajua wanachokifanya ila wanafanya kusudi kuwapima wazazi wao.
evolution of manWatoto wa kiafrica ni kama vichaa utakuta wamefanya destructions za kutisha.
View attachment 3585037
Ila huyo mtoto ni mkora aisee 😂😂😂.Tia bakora usimnyime mtoto mapigo,mtoto wangu ana mwaka na nusu chakula kimeandaliwa akaenda kunya kwenye sinia alichezea mikwaju akili imemkaa sawa..sasa hivi ata akiona nzi kwenye chakula anawafukuza.
Watoto wanajua wanachokifanya ila wanafanya kusudi kuwapima wazazi wao.
Eee, mwanao amerithi hiyo tabia kwangu mimi(baba yake).Heh! Pole sana, nashukuru boy wangu ana mipaka sana! Akitaka kitu anaomba haharibu vitu kabisa!
We cha uvurugu?🫢Eee, mwanao amerithi hiyo tabia kwangu mimi(baba yake).
Wee watoto wa kihindi ndio balaa na nusu ni vile tu mqzingira yetu hayafanani ilaMbegu nyeusi Huwa sizielewi.
Mtoto yupo kama kichaa kiasi cha kukufanya ukae kwa hofu
Tofauti na watoto wa kihindi n.k
Hata umfundishe vipi hawezi kuelewa, endapo wazazi hawajielewi.Watoto wanafundishika vizuri kabisa. Wanafanya hayo kulingana na wazazi walio nao.
Ndio.Jitahidini kuwatoa out watoto wana asili ya uchizi wafungiwapo ndan8
UhakikaWatoto wanajua wanachokifanya ila wanafanya kusudi kuwapima wazazi wao.
hehee... Ila umelea vyema aisee. Me nlikuwa mtukutu kweli udogoni. Dingi akisema usichezee hayo maji(kwenye ndoo). Me ndo naingia kabisa.We cha uvurugu?
Hapana
Na huu ndio ukweli wenyewe kabisa.Hao sio watoto wako wapeleke kwa baba yake ukiona wanafanya disaster za namna iyo.. mke wako anakuja baba wa watoto wake🏃🏃
Ungeongezeka umri kidogo ungenifaa tutandikane mangumi kidogo humo ndani mpaka basi😁hehee... Ila umelea vyema aisee. Me nlikuwa mtukutu kweli udogoni. Dingi akisema usichezee hayo maji(kwenye ndoo). Me ndo naingia kabisa.