nakwede97
JF-Expert Member
- Aug 9, 2021
- 946
- 2,478
Morogoro kumezid jamanjaman mji wa ovyo huu sijapata kuona [emoji3] birthday maturubai au ukumbi kabisa kumtoa mtoto nje maturubai na spika za mikutano harusi ndo kubwa lao vurugu za bodaboda na vijana wa ovyo barabaran wametoa zile Bomba za pikipiki bas kelele mtindo mmoja