Wewe kijana unaejitafuta ole wako uoe Tanga

Wewe kijana unaejitafuta ole wako uoe Tanga

Tajiri wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,079
Reaction score
2,947
Kama unataka kuona rangi rangi kwenye maisha yako Ole wako uoe Tanga, labda uoe wasambaa the rest makabila yaliobakia ni kupe tu nakuambia utafilisika kama hauna akili mzuri dadeki hawa Wanawake ni wajeuri, husuda na wivu kupindukia tu.

Wanawake kwao vigodoro, baikoko na vijamvi ni kitu cha kawaida Sasa uoe mwanamke huo ili iweje? So unatafuta kufa kwa presha? Ole wako kijana wacha waoane wenyewe kwa wenyewe bwana.
 
Nilienda mwaka Fulani nikapata Binti mzuri sana. Alikuwa na mdogo wake wa kiume. Cha ajabu mdogo mtu akawa anamwonea wivu dada yake, nae anautaka mjeledi

Nikasema kweli, Tanga nyumba sh*g* nyumba mganga
 
Kijana naona hii week uko na watanga nakufuatilia naona unailaumu Sana Tanga umepigwa na tukio Gani hebu acha Kona Kona funguka kilichokutokea huko kama Cha kujifunza tujifunze kama Cha kucheka tucheke😂😂
 
bongotrending_habari-20240621-0001.jpg
 
Hizo sio tabia zao na wazalamo nao utasemaje ila lengo sio kusema kabila za watu au kuziongelea vibya Kama ulikutana na shida iyo sehemu ni wewe alfu usipend kitu unacho kichukia yeye ukafanya kila mtu akichukie
 
Back
Top Bottom