Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,079
- 2,947
Kama unataka kuona rangi rangi kwenye maisha yako Ole wako uoe Tanga, labda uoe wasambaa the rest makabila yaliobakia ni kupe tu nakuambia utafilisika kama hauna akili mzuri dadeki hawa Wanawake ni wajeuri, husuda na wivu kupindukia tu.
Wanawake kwao vigodoro, baikoko na vijamvi ni kitu cha kawaida Sasa uoe mwanamke huo ili iweje? So unatafuta kufa kwa presha? Ole wako kijana wacha waoane wenyewe kwa wenyewe bwana.
Wanawake kwao vigodoro, baikoko na vijamvi ni kitu cha kawaida Sasa uoe mwanamke huo ili iweje? So unatafuta kufa kwa presha? Ole wako kijana wacha waoane wenyewe kwa wenyewe bwana.