Jamani kama mwenyewe nimeenjoy si inatosha kujisifia! Kwani tunamake love ili iweje?
Na ukisifiwa na wote, halafu mwenyewe huoni utamu wake je?
Mwana mtoka pabaya wewee!!! hapa nikimaanisha hivo hivo sio kwamba nakuita! Kaaaah.
wewe umeingia mmu unategemea kupata topic gani zaidi ya cheating, nyumba ndogo,
nimetendwa, after sex mistakes, kapos fight, being ignored yote hayo msingi wake ni sex. cha ajabu nini?
kama wewe mbovu na ukasema hapa tutapeana tips, unaona hazikufai sepa kabla hata hayo maneno sijayafilisi.
Eti mambo ya maana. ungezaliwa wewe bila sex? au na wewe huna maana?
Aisee... :dizzy:muongezee na hili hana haya wala hajui vibaya, uso umemparama kama jua la kiama, mwana mjaa laana aso koma kuwehuka, moja yake haikai mbili yake haisimami.
Duh Erotica bwana,you are my "DESIRABLE" bwana and a big fan of yours.Ila kunaswali ulisema usiulizwe ila mie nitakuuliza siku nyingine.
Back to the topic,mie sijawahi sifiwa tangu nimeanza haya mambo(hata kuyataja naona aibu) miaka 50 iliyopita kwahiyo nijiite FAILURE au?
lakin Erotica umesahau mgema akisifiw tembo hutia maji, na siku zote tumbitumbi tumbi ya mgongo.
Aisee... :dizzy:
Kati ya mambo yooote yaliyopo duniani, sex ndio mazungumzo yenu. Hivi kuwa member wa JF hadi kiwango changu cha sex kijulikane na wewe?
Haya ukishajua ndio inakuwa nini?
Kama mnauza semeni kwa kunyoosha maongezi. Siku moja moja jadilini mambo ya maana. Akili mmeziweka kwenye sehemu za uzazi basi saa zooote mijadala ni namna gani sehemu za siri za mwanaume zitawatosha, Loh!
Hapa malengo ya sred yameenda kushoto kidogo. mie nimelenga wale ambao
hua wanajisifia na kujiamini kumbe sivo. sina mana kua tusifiane mara kwa mara.
Nilifurahia huo msemo, hapa nipo kuuprint na kuuweka uutani. hujaona nimekungongea like?Mwali mbon mpana sana, manake sifa ya mwali ni upole, wewe mwenzangu sijamaliza kupost ushanijibu? nmekukubali ila Erotica kiboko,.........................
Kimbembe ndio hapo. watu wote na mimi tunasema ni wakaree!
tutajuaje? Kwani wewe Kongosho ni mbovu?
Nilifurahia huo msemo, hapa nipo kuuprint na kuuweka uutani. hujaona nimekungongea like?
Hata hivo mi ni mpole, sina ugomvi na mtu humu ndani (hata nje). Kuongea sio alama ya utundu.
Hivi hili neno, mkaree/wakaree huwa lina maana gani?.Kimbembe ndio hapo. watu wote na mimi tunasema ni wakaree!
tutajuaje? Kwani wewe Kongosho ni mbovu?
Kaunga this is too abstract.Ila kuna utamu wa asili ambao wapo walioumbwa nao (maumbile yao); hao hata wasiposhughulika sana; bado wenzi wao huwasifia.
Of course na ufundi pia upo. So lucky is the one anayekutana na mwenye combination zote 2!
Mwali mbon mpana sana...