Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi mwenyewe mwanafunzi humu ndani, nataka kujua.
Namfata Erotica popote alipo with my pen and paper
Hivi kuna mtu kanionea Neema? I really miss her...
Huku ndio kunikwepa kiinteligensia. nataka input based on hetero means.
yeye kama mwanamke mwenzangu tutaishia kwenye homo means au ikiwa
hetero haitabobea. So unanipa ama hunipi?
Can you be my friend? teh teh teh
Naona umegoma kunipa tips. Tatizo unabania alafu wadau wa MMU
wanajikausha kana kwamba hawajui lolote on the somo.
Kama kuna mtu anajua tagging naomba mnisaisdie kutag wana mmu!
Unataka tip gani?
It is an unfair question. Tunaongelea sex, ulianza vizuri nimekuuliza
nikiamini utanipa zile ambazo mebbe kama dada zitanifaa. nashangaa you are
walking around my comments. Acha uonevu na kubania tips ambazo zitafaa. labda useme huna la zaidi.
Mi nilijua wewe great thinker umeingia huku leo hiikama kila mtu anachukua notes, tuu nani atamwaga mapointi?
Mi nilijua wewe great thinker umeingia huku leo hii
Basi ndio tutapona, utatueleza Dos and Donts zote
Wapi Bwa'Nchuchu? yeye alisema ni mtaalam hapa.
Mi sijui kwa nini alinitaja mimi, mi mwenyewe mwanafunziLabda useme wewe ndio ataelewa. teh teh afta all alisema
nije kwako. niambie Mwali what am i missing?