Wewe mbovu kwenye SEX! Unajua hilo?

In clandestine world they call "covert operations". Normally people don't discuss until after some time!
 
EMT, sizungumzii maumbile ya nje; gfsonwin amegusia! Wenyewe huwa mna misemo yenu, sijui kitu .......... Nasi pia tuna mapreference yetu! Lkn utamu ukichanganywa na ufundi (utundu), ujuzi, mahaba huwa superb!

I just wanted to mention hicho tu; lkn kikubwa ni ufundi, kwani hiyo hufukia mashimo almost yote. Mf, kwa mwanaume kama maumbile yako ni madogo, ukiwa Fundi (mdada atakusifia na atafurahia), the same way kwa mdada, ukijua kumanupulate muscles zako, na mambo yote ulitojifunza; mkaka atakusifia!

Boflo uko wapi nawe utupe maujuzi yako?
 
Last edited by a moderator:
mimi nadhani niko fit maana huwa nikimaliza napewa ahsante nyingi huku nikiwa nimekumbatiwa, kwa kifupi huwa nahakikisha hana hata nguvu za kuamka kitandani
 
Mi mwenyewe mwanafunzi humu ndani, nataka kujua.
Namfata Erotica popote alipo with my pen and paper
Hivi kuna mtu kanionea Neema? I really miss her...

Unaanza kusema?

Huku ndio kunikwepa kiinteligensia. nataka input based on hetero means.
yeye kama mwanamke mwenzangu tutaishia kwenye homo means au ikiwa
hetero haitabobea. So unanipa ama hunipi?

Huu uzi utafika page ya 10 hatujajifunza kitu
 
mimi nadhani niko fit maana huwa nikimaliza napewa ahsante nyingi huku nikiwa nimekumbatiwa, kwa kifupi huwa nahakikisha hana hata nguvu za kuamka kitandani

Can you be my friend? teh teh teh
 
Huu uzi utafika page ya 10 hatujajifunza kitu

Naona umegoma kunipa tips. Tatizo unabania alafu wadau wa MMU
wanajikausha kana kwamba hawajui lolote on the somo.
Kama kuna mtu anajua tagging naomba mnisaisdie kutag wana mmu!
 
Reactions: EMT
Naona umegoma kunipa tips. Tatizo unabania alafu wadau wa MMU
wanajikausha kana kwamba hawajui lolote on the somo.
Kama kuna mtu anajua tagging naomba mnisaisdie kutag wana mmu!

Unataka tip gani?
 
Huu Uzi, unafaa kule Ukubwani; Erotica inabidi uombe access kwa Asiyeonekana ili uwe unanwaga mapwenti kule!
 
Unataka tip gani?

It is an unfair question. Tunaongelea sex, ulianza vizuri nimekuuliza
nikiamini utanipa zile ambazo mebbe kama dada zitanifaa. nashangaa you are
walking around my comments. Acha uonevu na kubania tips ambazo zitafaa. labda useme huna la zaidi.
 
Reactions: EMT
Huu Uzi, unafaa kule Ukubwani; Erotica inabidi uombe access kwa Asiyeonekana ili uwe unanwaga mapwenti kule!

Nina access tayari shosti nimeshaomba na nimepewa.
 
It is an unfair question. Tunaongelea sex, ulianza vizuri nimekuuliza
nikiamini utanipa zile ambazo mebbe kama dada zitanifaa. nashangaa you are
walking around my comments. Acha uonevu na kubania tips ambazo zitafaa. labda useme huna la zaidi.

Itakuwa ngumu bila kujua ubovu wako uko wapi.
 
kama kila mtu anachukua notes, tuu nani atamwaga mapointi?
Mi nilijua wewe great thinker umeingia huku leo hii
Basi ndio tutapona, utatueleza Dos and Donts zote
Wapi Bwa'Nchuchu? yeye alisema ni mtaalam hapa.
 
Last edited by a moderator:
Mi nilijua wewe great thinker umeingia huku leo hii
Basi ndio tutapona,
utatueleza Dos and Donts zote
Wapi Bwa'Nchuchu? yeye alisema ni mtaalam hapa.

Labda useme wewe ndio ataelewa. teh teh afta all alisema
nije kwako. niambie Mwali what am i missing?
 
Labda useme wewe ndio ataelewa. teh teh afta all alisema
nije kwako. niambie Mwali what am i missing?
Mi sijui kwa nini alinitaja mimi, mi mwenyewe mwanafunzi
Labda tuanze mwanzo kabisa: what is the question here?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…