Wewe mbovu kwenye SEX! Unajua hilo?

siwezi mwondoa hapa.

Kuna mtu anajaribu kutuletea fiziks kwenye mapenzi.

Hapo thawa. huyo mtu haelewi sayansi iliyopo kwenye mapenzi ni bayologia tu na kemia!
 
Tuko hii ni 100$ post. Umeeleza ilivo. sante.
 
Last edited by a moderator:

du! Mwapenda pipiiiii.
 
Tuko hii ni 100$ post. Umeeleza ilivo. sante.

Unajua Erotica sometimes watu wanadhani ni mwanaume tu anatakiwa kuwa fit kwenye mapenzi. But mwanaume unaweza kuwa kwenye sex na bonge la dem, umemtafuta for months, umetumia garama nyingi (kibongobongo), but akivua nguo ukawa juu yake just for 3 minutes unajisikia hutaki hata kumuona mbele yako?
 
Mapenzi mazuri ni joint effort.
 
wewe si uliaga? kilichokurudisha ktu gani? jana naski umerushwa maji leo unataka tena? manake uakuwa kama unomba kurushwa maji vile............

Anapenda sex ila anavunga. atakua ndio wale walio okoka akitoka kuzini anakimbilia
bafuni kuoga akiamini dhambi ndio inapungua kumbe mambo ni yale yale. dhambi!
 
Kaaah! apo anakua amechemka vipi? kwamba hakuingiliki?
na ikinitokea nitakuaje huyo mwanaume hataki hata kuniona bada ya dakika tatu tu??!!
 
Mko kwenye siku zenu eeh? Au siku gani unamaanisha?

maskini wa moyo fisadi wa maneno............., mbele huendi nyuma hurudi.......,umezoea vya kunyonga wewe vya kuchinja huviwezi, u..me wenyewe huna, hadi mwenzio unasaidiwa na afande wa pale jirani kwenu kama unabisha sema.
 
Unafiki mbaya sana; hawa ndo wale wanajifungia maofisini kuangalia picha za ngono na kutia hasara makampuni kulipia mitandao. Kuna Boss wetu mmoja ndio zake afu anajifanya mnoooko kumbe wataalamu wa IT walishamshtukia long time kitambo.

Kaaah! apo anakua amechemka vipi? kwamba hakuingiliki?
na ikinitokea nitakuaje huyo mwanaume hataki hata kuniona bada ya dakika tatu tu??!!

Wanawake wengi siku hizi hawafanyi mazoezi/hawako flexible. Ni wazito na wakiwa on bed wanakuwa static. Hajui kingine zaidi ya kunyanyua miguu na kuitawanya. hawajui kukiss, hawajui kusuck, hawajui kumassage, hawataki kugeuka, hawawezi kumuvuzisha kiuno. Hawajui 69 wa 19. Ukifika nae hotelini anachojua ni kuagiza mi-wine na makuku. Anakula mikuku hadi usingizi unambana anaanza kujambajamba ovyo. Ukimweka staili zaidi ya kifo cha mende unamhurumia anavyo-strain. Halafu anataka uende round ya pili!!!! Machangu na wanafunzi wataendelea kuwa kwenye chat.
(Sory kwa maneno makali, but jana tu nimekasirika sana).
 
Unafiki mbaya sana; hawa ndo wale wanajifungia maofisini kuangalia picha za ngono na kutia hasara makampuni kulipia mitandao. Kuna Boss wetu mmoja ndio zake afu anajifanya mnoooko kumbe wataalamu wa IT walishamshtukia long time kitambo.

sante dada. maneno kuntu haya!
 
Unafiki mbaya sana; hawa ndo wale wanajifungia maofisini kuangalia picha za ngono na kutia hasara makampuni kulipia mitandao. Kuna Boss wetu mmoja ndio zake afu anajifanya mnoooko kumbe wataalamu wa IT walishamshtukia long time kitambo.

tena wengine unakuta kumbe ni CHAKULA...

bo!...sijui kama patakucha huu uzi ungali hai nyumba kubwa
 
Last edited by a moderator:

Loh! nimebofya tu reputation na like. bada ya hii habari ngoja nichukue dakika
chache kutafakari hili. Maneno yako sio makali ni ukweli na yanafundisha.
siamini mwanaume wako anaweza kukutamkia haya. :yo:
haya ndio mimi, Preta na wengineo tulitaka kusikia.
 
Mnasumbuliwa na balehe nyinyi hamna lolote. Watu wenye akili timamu hawawezi wakawa kila siku ni ngono tuuuu, lini mtatoka MMU kujadili mambo ya maana?

Kwa nini mnapenda ngono mpk saa zote imewajaa midomoni na akilini?
Mwana Mtoka Pabaya pamekunogea unashindwa kujitoa? Maneno ya SEX yanakuita? teh teh teh.
 
Last edited by a moderator:

Mmh! Utakuwa mmoja wa wale wenye viwango dhaifu!
 
Si ndio kama nyinyi. Kutwa kucha MMU mnajadili ngono na maumbile yenu. Hivi kweli akili zenu zipo huko huko na sio kichwani eeeh? Mama zenu wana hasara kweli kweli, yaani mawazo yapo huko tuuu
Mkuu, naona umenogewa, hata kuondoka unashindwa
Twambie basi katika hizo myth hapo juu unapinga ipi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…