Wewe mbovu kwenye SEX! Unajua hilo?

Wewe mbovu kwenye SEX! Unajua hilo?

hongera kipimo cha ubora wa sex akijua mtumiaji. pia ujue si kila mtu anapendelea hizo shughuri
 
wanawake wako hivyo kwasababu tu mira zetu haziwaruhusu kutongoza lakini wanahitaji sana sex ndiyo maana wanaamua hata kwenda kwa waganga iliwampata angalau wa kuwashughulikia. hilo liko wazi.
 
Suala la ni umri gani mwafaka wa wazazi kutoa mafunzo kuhusiana na ngono kwa watoto wao, limekuwa likikwepwa na wazazi wengi. Wengine wakiamua kunyamaa na kuachia ulimwengu jukumu hilo, huku wengine wakiwa na imani kwamba wanao watapata mafunzo haya shuleni. Ukweli ni kwamba jukumu hilo halitekelzwi vilivyo na wazazi. Damaris Kitavi anatutafutia majibu ya jee ni upi umri mwafaka kuzungumza na wana wako kuhusu swala la kujamiana ili kuwaepusha na mitego ya dunia?

 
Last edited by a moderator:
Huyu jamaa amenivunja mbavu mpaka nimecheka kwa sauti na maji yamenipalia. Huyu keshajiunga rasmi na hili jukwaa; wanaanzaga hivi hivi, baadae atakuja na ID mpya kukwepa aibu.

Karibu mwaya jukwaa la stress free.

Mkuu, naona umenogewa, hata kuondoka unashindwa
Twambie basi katika hizo myth hapo juu unapinga ipi...
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Mhadhiri wa chuo kikuu cha Nairobi Luke Odime, mwanasociologia, anaeleza kwamba japo ni muhimu kuzungumza na wana wako kuhusu maswala ya kijamii ili kuwatayarisha jinsi ya kuishi na walimwengu. Lazima kupata ujuzi wa kuwaelewa watoto na vijana na kuwazungumzia kwa mbinu ambayo haitawasababisha kutaka kujua zaidi bila tahadhari.

 
Last edited by a moderator:
Wakati mwingine woga au furaha ilozidi kipimo (excitement) inafanya performance ya day one kuwa mbovu. Kuna article moja inasema kama kuna partners wanao enjoy sex basi ni wale walio kwenye ndoa muda mrefu kwani wanakuwa wameshajuliana ni style ipi kila mtu anaipenda zaidi na inamfikisha (na mimi nasema its true). Imenipa moyo sana maana nilidhani siku zinavyoenda kwenye ndoa labda kiwango kitashuka kumbe ndo kinapanda.

Ni kweli. Au unakuta yule ambaye ulikuwa umempania unamaliza mambo ndani ya dakika moja lakini yule ambaye wala hukuwa na time naye ndio kwaanza kunakucha.
 
Na kwa wenye watoto wa kike (mi sina) wazazi inabidi wawe makini kwani kuna watu walishaathirika kisaikolojia kuwa sex ni dhambi mpaka wamekuwa na waume zao bado hawa enjoy sex. Sex ni kitu kizuri kwa wakati wake na watoto wanapaswa waambiwe hivyo.

Mhadhiri wa chuo kikuu cha Nairobi Luke Odime, mwanasociologia, anaeleza kwamba japo ni muhimu kuzungumza na wana wako kuhusu maswala ya kijamii ili kuwatayarisha jinsi ya kuishi na walimwengu. Lazima kupata ujuzi wa kuwaelewa watoto na vijana na kuwazungumzia kwa mbinu ambayo haitawasababisha kutaka kujua zaidi bila tahadhari.

 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
Kuna siku nlienda na mume wangu kwenye teacher parent conference mwalimu wa darasa la mwanangu wa 4 years akawa anasema wazazi muwe makini siyo mnafanya mambo ya chumbani mbele ya watoto kama ku kiss; nikamkata jicho hubby. Kwa kweli sikumwelewa yule mwalimu na sikutaka ku argue nae maana nadhani atakuwa mlokole; yani mi nsimkiss mme wangu eti kisa watoto kha.. Yani anataka zile za wazazi wetu mkitembea mtaani baba mbele mama nyuma. Lol.
 
Ngoja Mwali aje ajibu hili swali.
Kongosho, asante kwa ku-organize ile move ila nilipanick ghafla.
Mwenzio niliona haya mazingira ya kuongelea ujuzi katika ngono
then na wewe ukasema utatuacha sisi wawili tu, nikapata uoga
I just couldn't, I had to run away.I promise to do better next time
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom