jovitha mussa
Member
- May 2, 2012
- 75
- 35
:A S kiss:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi kuona mwanaume jasiri wa kuelezea jinsi alivyo na elements za kike kama wewe. (sorry to say this). Hapa unanitaka nilinganishe mapenzi na siasa?
Kweli unataka kuniambia tukiwa na akili zetu timamu tuamini kuwa SEX is the most determinant factor to our betterment as individuals so as the nation! Mimi nafikiri ni siasa ndio inadetermine mambo yote ndani ya nchi.
Lakini acha niheshimu maadhimio yako, endeleeni kuzungumzia sehemu zenu za siri na namna mnavyosalitiana huku ukipongezana na hawa wanawake manungayembe wanaojiweka biiiize siku nzima kuzungumzia sex ilimradi tu wapate watu wa kuwatongoza. Ila nikusihi kuwa, kama mwanaume, siasa ya nchi haikwepeki na kuikwepa ni kukwepa maisha yenyewe.
"Love is the whole history of a woman's life, it is but an episode in a man's. "
Madame de Stael
Mtoto wa kiume anayeshabikia mazungumzo ya ngono tuuu mchana kutwa ni dalili za kusumbuliwa na balehe, hamna lingine. Na wa kike ni uhuni tu wa kutafuta watu wa kumtongoza. Matured men have a lot to do more than talking about their penis and how someone got hurt after been cheated by her girl lover.
Excrement of the clan!
Aisee!!!! U heri wewe maana huna presha za sijui kujivua gamba, mara kesi za segerea na ripoti za CAG.Acha ujinga wewe, maendeleo ya nchi yaanza na wewe, kila mtu awe mwajibikaji,sio kupiga mayowe kila siku kwenye media kama unayotaka wewe halafu utegeemee maendeleo,
wengine hatutegemei siasa ili tuendelee, ni maisha mazuri ya sex ndo yanatufanya tuendelee
Acha ujinga wewe, maendeleo ya nchi yaanza na wewe, kila mtu awe mwajibikaji,sio kupiga mayowe kila siku kwenye media kama unayotaka wewe halafu utegeemee maendeleo,
wengine hatutegemei siasa ili tuendelee, ni maisha mazuri ya sex ndo yanatufanya tuendelee
Uzi ni mzuri kwa lengo la kujifunza na kupata new ideas in our sex relations. Japokuwa sio vizuri sana kuweka bayana habari za ndani ktk mahusiano yako pia sio vibaya kuelimishana kwa lengo la kuongeza kitu fulani kichwani kwako kwa lengo la kuimarisha mahusiano yako na kumfanya partner wako afurahie sex.
Sex ni sawa na sanaa ambayo kila siku mtu unatakiwa uwe mbunifu na kujifunza vitu vipya ili mradi tu kuleta burudani stahiki kwa yule mlengwa(mpenzio). Hakuna mtu anayezaliwa na kujua sex, wote huwa tunajifunza kadri jinsi tunavyokuwa na kadri jinsi vichocheo vya miili vinavyoruhusu.
Kujijua kama wewe ni mbovu katika sex wewe mwenyewe si rahisi, lazima mpenzi wako au wapenzi wako ndio wakupe max kutokana na jinsi wanavyokuona uwapo ktk bed na usimlazimishe mpenzi wako kukuambia how good or bad u ar in bed kwa vyovyote vile atakuambia kuwa upo vizuri hata kama si kweli, muache yeye mwenyewe atakupa jibu au unaweza kujua wewe mwenyewe kutokana na viashiria fulani fulani. Tatizo lililopo hapa ni kwamba, je wapenzi wetu wapo tayari kutuambia ukweli kama sisi ni wabovu au wazuri ktk sex??
Kwa uelewa wangu mdogo ktk sex nahisi mtu mzuri ktk sex siyo yule ambaye anayejua kumvua nguo haraka mwenzie wawapo ktk bed, la hasha! naamini mtu mzuri ktk sex ni yule awezaye kutengeneza mazingira rafiki kwa mpenzi wake kabla, wakati na baada ya kusex na mwenye kutambua kuwa sex is not like a football that every team wants to win but its a game of satisfying each other. kusiwe na u-mimi.
Najua kwamba kila binadamu lazima awe na mapungufu fulani, vivyo hivyo katika sex hakuna aliye kamili kwa 100%. Tunahitaji kujifunza na kuelekezana na wapenzi wetu nini tunahitaji na kupendelea ktk sex na tuwe tayari kuwasikiliza wenzetu pia. Ubinafsi ni adui kama kweli unataka uwe mzuri katika sex na huwezi kuwa mzuri kama unajifikiria wewe tu. Vile vile lazima uvipe ushirikiano wa kutosha viungo vyako, viungo vingi mwilini vina nafasi yake katika sex kama vikitumiwa vizuri ili mradi usitumie tofauti na vile atakavyo mpenzio ili kuepuka kuleta kero wakati wa sex.
Huwa napenda sana kujifunza na kujua ubovu wangu katika sex lakini huwa naishia kujiona kuwa nipo fit ktk game kutokana na evaluation nazofanyiwa na mpenzi au wapenzi wangu niliowahi kuwa nao. Hii inakuwa ngumu kwa mtu kuwa na jibu la moja kwa moja kuwa wewe upo ktk nafasi gani sababu inawezekana labda mechi unazocheza mtu zikawa unacheza na timu zenye uzoefu mdogo wa kuhimili mechi ila inabidi mtu uamini hivyo coz si rahisi ku-prove kwa mtu ambaye hujasex nae.
Huwa napenda sana kujifunza na kujua ubovu wangu katika sex lakini huwa naishia kujiona kuwa nipo fit ktk game kutokana na evaluation nazofanyiwa na mpenzi au wapenzi wangu niliowahi kuwa nao. Hii inakuwa ngumu kwa mtu kuwa na jibu la moja kwa moja kuwa wewe upo ktk nafasi gani sababu inawezekana labda mechi unazocheza mtu zikawa unacheza na timu zenye uzoefu mdogo wa kuhimili mechi ila inabidi mtu uamini hivyo coz si rahisi ku-prove kwa mtu ambaye hujasex nae.
Ni kweli. Unawezakuta timu ni kali kama Barcelona, inacheza kandanda safi na la kuvutia lakini still ikafungwa na timu ya kawaida kama Chelsea tena ikiwa na mchezaji pungufu. Kwa hiyo, the fact kwamba wewe ni mchezaji mzuri, unacheza kabumbu safi na kila mtu anafurahia kabumbu yako, haina maana kuwa huna ubovu wowote.
Nobody is perfect. Isitoshe timu zote sio sawa. Nyingine bado ni changa, nyingine zina experience kubwa hasa kwenye mechi kubwa, n.k. Nyingine zinapendelea kucheza kwa flair zaidi, nyingine zinapendelea kutumia pasi mbili tuu na kufunga goli, nyingine zinafunga magoli kunako dakika za mwanzo, nyingine zinasubiri mpaka dakika za lala salama, nyingine hazifungi mpaka extra time, au kwa matuta.
Kwa hiyo, ni muhimu kuusoma vizuri mchezo wa timu pinzani ili ujue jinsi ya kukabiliana nao.
Nimependa sana hapo. Hilo ni tatizo kwa wengi, kuna wengine hata hajui game yake ipo vipi.
Sababu tu ni mzuri basi anaona amemaliza na ndio definition na kigezo cha kupimia kiwango
cha sex kwa mhusika. Ndio mana mimi naamini kua mnapokutana kwa mara ya kwanza na mwenzio
possibiliy ya kua failure ni kubwa sana. Hasa kwa mwanamke sababu kuna kua na tension fulani hivi.
Things get better as you get to know one another, na sensitive spots in your body.
Ni kweli lakini tatizo lingine ni kuwa watu wana-make assessment kwenye mechi ya kwanza.
Wanadai first impression matters. Kwa hiyo, unakuta mara nyingi assessment inafanywa kwenye mechi ya kwanza.
Lakini kwenye mechi hasa na timu ngeni au mechi za ugenini first impression inaweza isiwe kigezo.
Kama ulivyosema mechi inaweza kuwa tense na ku-affect the overall performance.
Lakini assessment is a process. Assessment is not a single cycle of actions but an ongoing process.
Assessment is an on-going process, not a one-time event.
Wajameni first impression kwenye game? Labda kwenye looks.
Ni tofauti kama huyo mtu ulie nae umemnunua au mna date. mfano Gigolo na hooker.
Akiwa ni date failure ina uwezekano mkubwa kuliko hata success. From experience mara ya
kwanza iko tense. Hata hivo labda pia yategemea na soni za wahusika. kwa wengine kuchojoa
nguo kwa strangers mara kwa mara sio tija but to others it is a big deal. Kati ya hizo contrast
mbili ni tofauti performance zao kwa mara ya kwanza. That is my observation on the matter.
erotica mie nipo kwenye process zakumtafuta mtu wangu nitakayekuwa nae maisha and am 25 now, washauri hata kama natafuta mwenzangu hawe na umri upi.....? coz kuna rafiki yangu kamchukua agement wake kila siku ni ugomvi
teh teh teh