Hakika, uzalendo kwa mwajiri ni kumpa implication kuwa bila hiyo kazi huna PA kushika so kuburuzwa na kupewa majukumu without raise inakuwa ndo zakeHakuna kitu kilinitesa mwanzoni kama kuwa mwamini na mzalendo kwa mwajiri. Toroka, zembea, tumia likizo zoooote. Hakuna siku utaambiwa asantee
Sasa hapa ukiambiwa acha basi hiyo kazi, hujalazimishwa, usilielie tu kufurahisha genge.Unajua leo bwana nikiwa najiandaa kwenda kazini nimekaa nikawaza,
Nini hiki? Yaani nifanye kazi kwa ajili ya watu, nikiwa na malengo ya kuwa financially free.
Kweli kabisa, yaani niwe financially free kwa kulipwa kwa muda wa kazi?
Ni ujinga wa hali ya juu, mtu unajua Mshahara wako ni fixed, na unategemea ipo siku utakuwa na hela ya kufanya unalo taka?
Kweli sisi wamatumbi ni sawa na mwanyama wa mwituni kabisa, hatuna mafikirio ya mbele, huwa unawaza kuhusu survival na ngono tu.
Imagine unatumikishwa day to day, na hakuna siku utakuwa free, mpaka unastaafu na miaka 60. Utakacho ambulia ni mafao tu, ambayo yatakukuta hauna plan, na mwishowe hiyo hela utakosa mianya mzuri ya kuji multiply.
Sasa nani atakuja kukuamsha kutoka kwenye hilo jeneza la kuajiriwa?
Basi, bwana nisiwachoshe ngoja Twende tukaendelee kufanya jambo lile lile kwa miaka 50 straight.
walalamikaji wazuri, daily utaona anaipondea kazi ni mbaya na kutoa kasoro nyingi...kuacha ndiyo hathubutu😁Na wengi huwa tunakuwa na lots of plans, lots of insecurities.. Ila muda hausubiri mtu
Mimi naona the system is designed to fail us. Hakuna somo shuleni utafundishwa namna ya kujinasua na kuwa investor. They don't teach you about moneywalalamikaji wazuri, daily utaona anaipondea kazi ni mbaya na kutoa kasoro nyingi...kuacha ndiyo hathubutu😁
Sawa, nitazingatia discipline katika visions zangu. AsanteWakaribia kujikomboa, jipange kwanza kabla ya kuacha kazi, usifuate mkumbo, na uwe tayari kula rhumba mtaani, ila hongera sana kwa kufunguka KICHWA. Jipange mdau, jipange kwanza..
Kila la kheri