Wewe mwajiriwa wa "9 to 5" unalitambua hili?

Wewe mwajiriwa wa "9 to 5" unalitambua hili?

Ndo maana tunaambiwa kuwa ajira isiwe egemeo, ni kheri uwe na mashamba yako ya kukodisha ukiwa tunasubiria hivyo..

Mashamba ni rasilimali nzuri isiyo na presha..

Basi kopa walau ujenge hata vibanda vya kupangisha
Kujenga vibanda/nyumba za kupangisha si kitoto.Wengine hadi wanastaafu bado wanaishi nyumba za kupanga.
 
Kuajiriwa halafu uache kazi kirahisi tu kwa nia njema ya kujitegemea/kujiajiri ni kweli siyo jambo la lele-mama.Inahitaji mipango endelevu,ramani kamili,mtaji/resources aminika na ujasiri.Kuajiriwa ni zaidi ya utumwa wa zama mpya/neo-slavery!
Utumwa kwako wewe mwenyewe maana it's for your own benefit sasa wengi hatupendi kupitia katika tanuri la moto
 
Mimi naona the system is designed to fail us. Hakuna somo shuleni utafundishwa namna ya kujinasua na kuwa investor. They don't teach you about money
Mbona mnapenda lawama vijana, shuleni umefunzwa kusoma, kuandika, kuhesabu na baadhi ya lugha ngeni.

Bado unataka upewe na vitabu vya kusoma??
Vutabu ni bure, mtandaoni elimu bure, utake nini ukose aisee

Hapo ni wewe na akili yako hamna cha kulaumu.
 
Au sio?

Hakuna aliye laumu mzee, tunawekana wazi tu na kila mtu atashinda mechi zake
 
Anyways tuache porojo, toa strategy kwa fails yetu sisi. Maana huenda ukawa na right mindset ya kusaidia wengine
Sio rahisi kama una work for money and not money working for you.
HAPOOO.....
 
nawaza nikiacha ajira nafanya nini. maana hata nikisena nitafungua duka la nguo kwa mfano ama nitalima ama nitafuga kuku sina assurance kwamba zitanisustain. au ndio sina imani? au ndio akili imeshaathirika na ajira ? mwenye mawazo namna naweza kujipanga ili niachane na ajira
 
Anza tu, lazima kupitia downfall ili ukuwe kiuchumi. Biashara sio rahisi pia
 
Au sio?

Hakuna aliye laumu mzee, tunawekana wazi tu na kila mtu atashinda mechi zake
Hii sio kushinda mechi zake.

Maana hii ishu ipo sana mitandaoni ila ajabu hamuachi hizo kazi zinazowabana mkaenda huko msikobanwa..

Kiukweli sipendezwi na msomi ambae anaeenxeshwa na influencer ambae hana elimu ati ajira si kitu, ni utumwa.

Wakati hamfanani backgrounds kabisa.
 
Back
Top Bottom