Basi mtalalamika sana kwa style hiiSawa, plan kama hiyo wengi hawawezi kuwa disciplined wanapenda mteremko
Jamaa,Kwenye Kujiajiri kunakupata na kukosa sio uhakika kama ajiraNdio, na inategemea na cahs flow..
Uko sahihi, ila mwenye graph inayo panda ni yule aliye jiajiri
Sawa plan yako ni ipi sasaMimi nina plan siishi paycheck to paycheck
Ndo ukweli huo...biashara unaanza mdo mdo huku uko kazini tena tafuta ile ambayo haiitaji usimamiaji wako kwa asilimia kubwa...then ikiwa stable unaweza acha kaziAu sio🤣
Kuna jamaa aliomba hela yake na mafao juu a kaenda kulima tikiti zikawa attacked by funza. Ali haha, asijue pa kushika
Binafsi naona ni sawa ila sio rahisi kama kuongea tu...Ndo ukweli huo...biashara unaanza mdo mdo huku uko kazini tena tafuta ile ambayo haiitaji usimamiaji wako kwa asilimia kubwa...then ikiwa stable unaweza acha kazi
Kwa sheria za "Ubena-zomozi" kuajiriwa kwa mtumishi wa umma ni kuanzia miaka 18 na kustaafu ni miaka 60 "cash"!Au miaka 55 kuondoka kwa hiyari kwenda kuchunga mifugo.Kwa hiyo,hapo tunapata muda wa kutumika kama ngoma ni miaka (wastani) 35-40 bila nyongeza.Unajua leo bwana nikiwa najiandaa kwenda kazini nimekaa nikawaza,
Nini hiki? Yaani nifanye kazi kwa ajili ya watu, nikiwa na malengo ya kuwa financially free.
Kweli kabisa, yaani niwe financially free kwa kulipwa kwa muda wa kazi?
Ni ujinga wa hali ya juu, mtu unajua Mshahara wako ni fixed, na unategemea ipo siku utakuwa na hela ya kufanya unalo taka?
Kweli sisi wamatumbi ni sawa na mwanyama wa mwituni kabisa, hatuna mafikirio ya mbele, huwa unawaza kuhusu survival na ngono tu.
Imagine unatumikishwa day to day, na hakuna siku utakuwa free, mpaka unastaafu na miaka 60. Utakacho ambulia ni mafao tu, ambayo yatakukuta hauna plan, na mwishowe hiyo hela utakosa mianya mzuri ya kuji multiply.
Sasa nani atakuja kukuamsha kutoka kwenye hilo jeneza la kuajiriwa?
Basi, bwana nisiwachoshe ngoja Twende tukaendelee kufanya jambo lile lile kwa miaka 50 straight.
Ndo maana tunaambiwa kuwa ajira isiwe egemeo, ni kheri uwe na mashamba yako ya kukodisha ukiwa tunasubiria hivyo..Kwa sheria za "Ubena-zomozi" kuajiriwa kwa mtumishi wa umma ni kuanzia miaka 18 na kustaafu ni miaka 60 "cash" au 55 kuondoka kwa hiyari kwenda kuchunga mifugo.Kwa hiyo,hapo tunapata muda wa kutumika kama ngoma ni miaka (wastani) 35-40 bila nyongeza.
Sasa unalamika nini jombaaHaiwezi ku ring sawa na mtu mwingine maana inategemea na mipango na manunuzi yangu ya kila leo
Sawa mkuuKweli sisi wamatumbi ni sawa na mwanyama wa mwituni kabisa, hatuna mafikirio ya mbele, huwa unawaza kuhusu survival na ngono tu.
Kuajiriwa halafu uache kazi kirahisi tu kwa nia njema ya kujitegemea/kujiajiri ni kweli siyo jambo la lele-mama.Inahitaji mipango endelevu,ramani kamili,mtaji/resources aminika na ujasiri.Kuajiriwa ni zaidi ya utumwa wa zama mpya/neo-slavery!Binafsi naona ni sawa ila sio rahisi kama kuongea tu...
It requires an insane amount of discipline and long term commitments.
Ulipotelea wapi dada ake?