Wewe mwanachuo uliyeko mwaka wa mwisho

Wewe mwanachuo uliyeko mwaka wa mwisho

Iwaay

Member
Joined
May 21, 2016
Posts
36
Reaction score
56
Ukimaliza chuo na degree yako huku mtaani ukija ujue ndo unaanza form one za kitaa. Huku ni kutafuta kwa jasho degree inabaki kwanza kwenye karatasi.

Tatizo vile vyeti hata Kuombea mkopo wa kuanzisha hata biashara au mradi wowote ule wa maendeleo haviwezi. Elimu yetu inatusaidia kupata vyeti kwa ajili ya kutafuta kazi tu.

Tarehe 7/7 kwa mlioko UDSM, DUCE na mwalimu Nyerere memorial mlipata wageni waliokuja kufanya interview ya TRA zaidi ya watu 6000+ kwa ajili ya nafasi chini ya 10 ya Custom officer wa TRA. 6000+ kwa ajili ya nafasi 1-10 jiulize haoo c balaaa.
 
Unapewa boom Et unatunza unasema maisha magumu baada ya chuo,

Ukifa je, kula boom wewe, kula pesa, kula totos mpaka kieleweke dunian tunapita
Na usipo kufa na dunia isipo pita?
 
Msitutishe mi nilishawasoma humu mnataka kutukatisha tamaa. Kwa taarifa n kwamba tumejipanga sana "liwalo na liwe" ila maisha yaenda tu
 
Back
Top Bottom