Wewe mwanachuo uliyeko mwaka wa mwisho

Wewe mwanachuo uliyeko mwaka wa mwisho

Tumtegemee Mungu Mwenyezi, pia ni vizuri vijana wengi wakajikita kusoma kozi zinazowapa skills hata kama ni certificate au diploma kiasi kwamba unaweza ku-practice ujuzi wako from day 1 baada ya kuhitimu na kuingiza kipato.

Mfano, mtu aliyehitimu kozi ya umeme wa majumbani, akikaa tu sehemu hata kama ni ofisi ya mtu anaweza kuingiza kipato right away..
 
Acheni kudanganya madogo wengine pesa tumeanza kuzishika shule ilipoisha wewe kama huna mchongo wa pesa baada ya kumaliza shule ni wewe na shida zako ajira zipo kibao na biashara zipo kibao z kufanya ukatoboa tatizo vijana wengi hamjiongezi.

Wadogo zangu pesa zipo ajira zipo na maisha baada ya chuo yapo mazuri tu hawa wavivu wasiwadanganye na kuwatishia
Je ni asilimia ngapi ya walioshika pesa walipomaliza shule?. Je ni asilimia ngapi wanamichongo wakimaliza vyuo?. Wewe ni asilimia ngap wa final year ambao wanajua akimaliza anaenda kufanya nini?. Kama upo chuo fanya research ndogo ya kujua final year wanaojua wakitoka wanaenda kufanya nini.
 
Bora umewaambia mapema, kama shekeli ya bumu uliitunza tunza kimtindo inaweza ikakufaa utakapoanza form one ya kitaa.
wanaanzaje kwa mfano kutunza boom wakati chuo picha linaanza kipo karibu na mliman city na kushoto sinza kumekucha..wanaanzaje kwa mfano
 
[emoji23] [emoji23] kama waliendekeza hvyo vitu wajiandae
unajua maisha ya chuo kiukweli yanahtaji sana cancelling maana doohh unaingia kijana mdgo alafu kila kitu unataka ufanye ww..wanawake uwalale wote chuo kizima...mitian ufaulu yotee..maisha ya nje ya chuo uonekane basi kila kitu unataka kugusa ww tu..matokeo yake

kwio
 
Kama hawa
FB_IMG_1594926777640.jpg
 
Acheni kudanganya madogo wengine pesa tumeanza kuzishika shule ilipoisha wewe kama huna mchongo wa pesa baada ya kumaliza shule ni wewe na shida zako ajira zipo kibao na biashara zipo kibao z kufanya ukatoboa tatizo vijana wengi hamjiongezi.

Wadogo zangu pesa zipo ajira zipo na maisha baada ya chuo yapo mazuri tu hawa wavivu wasiwadanganye na kuwatishia
Maneno mazuri Sana mkuu😁😁😁
 
Back
Top Bottom