Kasoro majina tuWale wale
Je ni asilimia ngapi ya walioshika pesa walipomaliza shule?. Je ni asilimia ngapi wanamichongo wakimaliza vyuo?. Wewe ni asilimia ngap wa final year ambao wanajua akimaliza anaenda kufanya nini?. Kama upo chuo fanya research ndogo ya kujua final year wanaojua wakitoka wanaenda kufanya nini.Acheni kudanganya madogo wengine pesa tumeanza kuzishika shule ilipoisha wewe kama huna mchongo wa pesa baada ya kumaliza shule ni wewe na shida zako ajira zipo kibao na biashara zipo kibao z kufanya ukatoboa tatizo vijana wengi hamjiongezi.
Wadogo zangu pesa zipo ajira zipo na maisha baada ya chuo yapo mazuri tu hawa wavivu wasiwadanganye na kuwatishia
wanaanzaje kwa mfano kutunza boom wakati chuo picha linaanza kipo karibu na mliman city na kushoto sinza kumekucha..wanaanzaje kwa mfanoBora umewaambia mapema, kama shekeli ya bumu uliitunza tunza kimtindo inaweza ikakufaa utakapoanza form one ya kitaa.
[emoji23] [emoji23] kama waliendekeza hvyo vitu wajiandaewanaanzaje kwa mfano kutunza boom wakati chuo picha linaanza kipo karibu na mliman city na kushoto sinza kumekucha..wanaanzaje kwa mfano
unajua maisha ya chuo kiukweli yanahtaji sana cancelling maana doohh unaingia kijana mdgo alafu kila kitu unataka ufanye ww..wanawake uwalale wote chuo kizima...mitian ufaulu yotee..maisha ya nje ya chuo uonekane basi kila kitu unataka kugusa ww tu..matokeo yake[emoji23] [emoji23] kama waliendekeza hvyo vitu wajiandae
Na mkomae๐๐๐๐daah graduates tutakoma aisee
Maneno mazuri Sana mkuu๐๐๐Acheni kudanganya madogo wengine pesa tumeanza kuzishika shule ilipoisha wewe kama huna mchongo wa pesa baada ya kumaliza shule ni wewe na shida zako ajira zipo kibao na biashara zipo kibao z kufanya ukatoboa tatizo vijana wengi hamjiongezi.
Wadogo zangu pesa zipo ajira zipo na maisha baada ya chuo yapo mazuri tu hawa wavivu wasiwadanganye na kuwatishia
Wapo Facebook uko๐Last year mmesikia lakini!!?? Msije sema hamkuambiwa.